Ramani - Tanzania baada ya kuongezewa kilomita 241 baharini

For a land reclamation of this scale we better be well prepared before we give it a green light.

*First the good:
- It provides habitats for fauna and flora to live; this will also increase the biological stability of the surrounding area.
- It serves as a location where oxygen is produced,which is good if in proximity to urban areas.
- Local populations gain a sense of gratification out of it; people generally feel happy if they contribute to improving the environment.
- It serves as a reservoir for possible future
utilization; trees and animals for example can be forested or hunted at a later date.

*The bad:
- It is expensive; clearing large tracts of land and making it possible for organisms to inhabit it again is financially costly.
- It takes a long time; succession is generally slow with full improvement in an already rehabilitated area only coming to fruition after 150 years.
- Takes up space; excludes large areas of land from use for economic activities(#e.g fishing being a vital source of income for most Zanzibaris). Be they responsible or not.
#Mfano ni wangu...
Source: Y! Answers..

My view: Comprehensive project cost-benefit analyses must be conducted on various contexts such as ecology,environment,economy etc.We need not to jump to this out of political or any other impractical motives only as it seems like a tough nut to crack.
 
Mimi nadhani bado mpaka haujarekebishwa vizuri. Umbali wa km 241 ulitakiwa uwe ni kutoka nchi kavu ya visiwa vya pemba na zanzibar. Kwa namna ramani inavyoonyesha, wameongeza eneo la Tanganyika na si Tanzania sababu wamechukua reference point yao kutoka Tanzania bara. Bado tunahitaji kuwadai tena!

halafu wanachoneng'eneka Wazanzibar ni chepi.
Hilo eneo linaombwa sa sirikali ya Muungano,
ikitokea umevunjika? Nao wanapata sehemu yao katika hiyo bonus...
 
sawa wameomba waongezewe eneo na huenda wakaongezewa lkn je WANANCH WA KAWAIDA TUTANUFAIKA? Mana hili eneo tulilonalo lililojaa kila aina ya neema linanufaisha wachache je hl la nyongeza? Nafurah huku nikisikitika
 
Kelele yote ya wazenj kuwa ni nchi kwisha habari. Au watakuwa nchi ndani ya Tanzania kama Swaziland? Na wimbo wao wa Taifa utakuwa wa wilaya au tarafa? Na katiba yao itakuwa labda mwongozo wa viongozi wa vijiji vya Pemba na Unguja. Big up Tibaijuka, tunaomba ombi likubaliwe mapema kabla ya 2015.
Zenj itakuwa kama visiwa vya Ukerewe na itabidi Baraza la wawakilishi livunjwe tuunde baraza la madiwani Unguja na lingine Pemba. Seif awe mkuu wa wilaya Pemba na huku Unguja sijui apewe nani?
 
mbona ile ramani ya kabla ya kuongezewa hizo mili zanzibar inaonekana ipo nje ya Ramani ya tanzina na tulikua tunaitambua zanzibar kwa viduara vidogo karibia na mpaka wa tanzania?. sasa iweje leo zanzibar iwe ndani ya ramani ya tanzania. nani kaiweka kwenye tamani?. Mia
 
sawa wameomba waongezewe eneo na huenda wakaongezewa lkn je WANANCH WA KAWAIDA TUTANUFAIKA? Mana hili eneo tulilonalo lililojaa kila aina ya neema linanufaisha wachache je hl la nyongeza? Nafurah huku nikisikitika
Msoffe,siku za kunufaika zaja, usihofu ndio mapambazuko yamewadia na hakuna awezaye kuzuia mapambazuko hata jogoo asipowika.
 
Hongera serekali ya JMT,hongera Prof Tibaijuka,hongera waTanganyika.
 
Hii ndivyo itakavyokuwa, unguja na pemba vinaonekana kama tarafa katika nchi hii kubwa ya tanzania.

Big up prof. Hon. Tibaijuka na waziri wa ardhi wa smz kwa hatua mliyochukua as kuonezewa kwa eneo hili litaiweka jamhuri ya muungano safe kutoka kwa maharamia.

View attachment 46032

Kiburi ni laana kwelikweli. Hatosheki aliye kiburi isipokuwa kwa machafuko tuuu na kuona damu inamwagika. Nyieee CCM, na nyie baadhi ya Watanganyika, hebu tuelezeni, ni nini hasaaaaa mnachotutakia Tanzania? Nini hasaaaaaaa nia ya move hiii? Couldn't you think any better? Nini mnachotaka au mnachotegemea waZanznibari waseme au wafanye?

This is seriously stupid. Penye hitilafu hurekebishwa na sio kuongeza hitilafu.
 
Hongera serekali ya JMT,hongera Prof Tibaijuka,hongera waTanganyika.

Hii ni dhuluma nyengine dhidi ya Wanzanzibari. Mafuta ni yao na UN ni ya mabeberu wasiojali sisi wanyonge kuparurana kwa manufaa ya wenyewe waliounda UN. Kwa nini hatutumii akili, maarifa na kinaya (kukinai)?

Hata kama miaka 100 itapita, au tone moja tu la damu likimwagika kama yaliyomwagika 1964, yanayomwagika Palestina, yanayomwagika Nigeria, yaliyomwagika Sudan, yaliyomwagika Darfur, yaliyomwagika East Timor, nk, nk, basi yatatapakaa mikononi mwenu.

Vibruri na Dhuluma katu havijengi bali hubomoa, na tusijidanganye Watanzania kwamba eti Tnaganyika in nguvu. Nguvu ni mtego.

Muungano una hitilafu, na ingepasa urekebishwe. Sasa haya ndiyo marekebisho gani kama sio kuongeza dhuluma na huzuni dhidi ya waZanzibari? Nini mnalolitegemea???
 
Jussa arudi kwao Pakistan akale dengu. Amekuja Afrika na kula na kunenepa sasa anaaza kujambajamba asijue anaweza kufanyiwa kweli. Nilidhani angetumia muda mwingi kwanini haoi na anahusishwa na ushoga.
 
kwa under law of the sea teritorial water ilikuwa km/miles ngapi kabla ya hiyo mnasema nyongeza
 
aisee watanganyika wanathink criticaly wadau ya zenji itakua ni nchi ndani ya nchi baada ya muungano kuvunjika..kwa mipango kama hii ugaidi tutauepuka.big up prof.
 
halafu wanachoneng'eneka Wazanzibar ni chepi.
Hilo eneo linaombwa sa sirikali ya Muungano,
ikitokea umevunjika? Nao wanapata sehemu yao katika hiyo bonus...

hawapati kitu,ukivunjika watabaki katikati kama lesotho ndani ya a.kusini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom