ramani/michoro ya viwanja na nyumba inapatikana

mkuu comred, upatapo hao watu utakaowachorea ramani, usisite kunitumia mimi kuwajengea, si unajua tena kampuni ipo, fully registerd class 3 building contractors, very cheap and efficient,, soo ukishachora wewe, pliizzz, walete mimi nikawafanyie construction

sawa bos wng bila shaka kaz zako ckuzote ninzuri na wt quality

sheria inataka kazi zako ndizo zikutangaze na sio kujipigia debe kama unauza nyanya!

sawa mkuu ntatekeleza
bt anza kuweka zako zikutangze nami nikujue..

sheria inataka kazi zako ndizo zikutangaze na sio kujipigia debe kama unauza nyanya!

.......Mwalu,nakubaliana nawe,anachokifanya Comrade ni kinyume na taratibu za fani ya usanifu majengo(architecture),napata wasiwasi kwani yaweza kuwa hajasajiliwa,je amefuzu kweli katika fani hiyo.Watu wengi sana wanaingizwa mikenge na mafundi mchundo au technicians ambao wanajifanya ni qualified professionals katika fani na kuishia kupata nyumba au ramani ambazo ni sub standard................,kwa yeyoye mwenye kuhitaji huduma ya mtaalam husikamhakikisha kuwa amesajiliwa na anaruhusiwa kisheria kufanya shughuli hiyo vinginevyo ni kuwa mwenye kuchorewa na anayechora wote wapo hatiani,jamani tufuate kanuni na taratibu,..........tuishie kupata huduma bora zenye tija,

ndugu yng ww namin unauelewa angalau bt naomba niulze ua profession b4 cjakuelmsha

.......Mwalu,nakubaliana nawe,anachokifanya Comrade ni kinyume na taratibu za fani ya usanifu majengo(architecture),napata wasiwasi kwani yaweza kuwa hajasajiliwa,je amefuzu kweli katika fani hiyo.Watu wengi sana wanaingizwa mikenge na mafundi mchundo au technicians ambao wanajifanya ni qualified professionals katika fani na kuishia kupata nyumba au ramani ambazo ni sub standard................,kwa yeyoye mwenye kuhitaji huduma ya mtaalam husikamhakikisha kuwa amesajiliwa na anaruhusiwa kisheria kufanya shughuli hiyo vinginevyo ni kuwa mwenye kuchorewa na anayechora wote wapo hatiani,jamani tufuate kanuni na taratibu,..........tuishie kupata huduma bora zenye tija,

Mbona hawaweki bei za ramani,wanaficha nini au kunakumbakiwa gharama

Similar Discussions

Back
Top Bottom