Ramani bomba ya nyumba ya kuishi

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za wasaa huu ndugu na marafiki.

Bado naendelea na mradi kuchora Romai ya nyumba bomba ya kuishi.

Ila bado sijamaliza. Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost kila napofikia.

Na hapa ndipo nilipofikia. Lakini bado kazi inaendelea. Mpaka pale nitakapo kuwa nimemalza.

Hizi ndio picha ya sehemu niliyofikia.

Screenshot_20200929_193116.png

Screenshot_20200929_193116.png

Screenshot_20200929_193105.png

Screenshot_20200929_193105.png

Screenshot_20200929_193116.png

Screenshot_20200929_144340.png

Screenshot_20200929_144310.png

Screenshot_20200929_144241.png

Screenshot_20200929_144222.png

Screenshot_20200929_144421.png

Screenshot_20200929_193105.png

Screenshot_20200929_193116.png

Screenshot_20200929_193105.png

Screenshot_20200929_193116.png

Screenshot_20200930_002130.png

Screenshot_20200930_002143.png

Screenshot_20200930_002207.png

Screenshot_20200930_002229.png

Screenshot_20201001_142608.png

Screenshot_20201001_142546.png

Screenshot_20201001_142608.png

Screenshot_20201001_142812.png

Screenshot_20201001_142830.png

Screenshot_20201001_142856.png

Screenshot_20201001_142912.png
 
Vijana mkishajua kuvuta node na wall kwenye Archicad baaaassss imetosha sio?????.... Architecture is more than that broo.. nakucirtisize ili uwe bora zaidi.. hiyo design ni mbaya, not well thought of, lots of details missing ++++++++++
 
Mkuu kuwa mpole utaona vitu vikali zaidi ya hivyo vinakuja yaani huo ni mwanzo tu na hii kazi ni endelevu kwenye hili jukwaa.

Nilishajua challenge yangu ni software nayotumia ni ya demo. Sasa ninampango wa kuvuta software yenyewe. Vitu vikali vitaporomoshwa humu bure bila chenga.
 
Sasa mbona haukusubiria hadi upate hiyo software nzuri ukishaweza itumia ndipo utupostie, hauoni kama umetuchanganya kisaikolojia?!
 
Sasa mbona haukusubiria hadi upate hiyo software nzuri ukishaweza itumia ndipo utupostie, hauoni kama umetuchanganya kisaikolojia?!
Mmmmmmmm kusubiri tena, hakuna kilicho changanywa hapo isitoshe ramani ya nyumba ni floor plan tu, hizo zingine rangi rangi na mapambo ni mbwembwe tu.

Na hiyo software inayozungumziwa hapo ni sawa na hii nayo itumia. Hivyo nikisha kuipata itakua ni mtelezo tu haina ujanja kwangu.
 
Back
Top Bottom