UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: Nile house designs

Nice designs! Congrats. Mnachora ramani za nyumba tu au mnafanya mpaka ujenzi? Ofisi zenu zipo wapi? Mkoa gani? Asante
Habari chief, tunachora na kufanya ujenzi sehemu yoyote Tanzania, ofisi ipo dar es salaam, kinondoni B, Call/WhatsApp 0715477041 kwa taarifa zaidi
 
Hello everyone!

Hii ni proposal ya nyumba ya vyumba vinne, sebule, jiko, sehemu ya kulia na store.

Designer: Nile house designs.

Unaipa marks ngapi kati ya 100?

View attachment 1748724View attachment 1748725View attachment 1748733
View attachment 1748736View attachment 1755264]
Naipenda kwa nje ila kwa ndani sijapenda planning sana. Bedrooms hazina makabati (ukiyaweka utaona yanafinya sana vyumba, pia zingatia bedside tables pembeni ya vitanda). Sijui kwa nini Hall na kitchen vinaingiliana kwa sliding door tena pana hivyo, jiko linaonekana litasumbua matumizi. Hujaonesha sink, fridge, cooker na counterspace kwa food prep/serving. Kwa nyumba kama hii jiko lingependeza likiwa na pantry/scullery.

Kwa master bedroom sijapenda namna shower na wc vilivyofungiwa...na je inamaana mtu awe na shower curtain ama glass partition kwenye shower area? Hizo his/her washbasins hazijakaa poa kugusanishwa hivyo, assume unahitaji 900mm c/c kwa watu wawili kuweza kusimama hapo na kuswaki kwa pamoja.

Vingine ni kama walivyosema wengine.
 
IMG-20200119-WA0005.jpg
IMG-20200119-WA0012.jpg
IMG-20200119-WA0013.jpg
 
Kujua mahitaji yako katika ujenzi ndio msingi wa kuwa na nyumba nzuri na isiyokukera, unazionaje design hizi?? Unahitaji nyumba ya aina gani tukutengenezee ??

Call/WhatsApp +255715477041

nilehouse designs 3--5.PNG
nilehouse designs 3--3.PNG
nilehouse designs 3-.PNG
nile -8.PNG
nile -2-3.PNG
nile -5-3.PNG
log1 imelda cl--2.PNG


nile --3.PNG


nile -15.PNG
 
Designer:: nile_house_designs
Call/WhatsApp 0715 477 041

Karibu upate design nzuri na zenye muonekano wa kipekee kulingana na mahitaji na uwezo wako.

We bring clients ideas and wishes into reality!!!
2_1 - Photo.PNG
21_3 - Photo.png
1_2 - Photo.PNG
 

Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom