**Ramadhani Njema** | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

**Ramadhani Njema**

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rev. Kishoka, Aug 31, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu waumini wa Islam na wafuasi wa mtume Muhamed SAW, naomba mpokee salamu zangu kuwatakia kila laheri kuanza mfungo wa Mwezi Mtakatifu wa Ramadhani.

  Katika Uislamu, tunaambiwa kuna nguzo kuu tano za Uislamu. Imani, Sala, Zaka,Sawm na Hijja.

  Nanyi mnapoenda kwenye safari hii muhimu ya kutimiza moja ya nguzo, nawaomba mwenyezi Mungu awape heri na baraka zake, muwe wastahimilivu wa majaribu, nanyi mkishi katika toba na unyenyekevu.

  Naungana nanyi katika safari yenu kwa kuwaombea muyashinde majaribu na baada ya 30 mpate malliza mfungo huu mtukufu kwa Amani, mkiwa mmejengwa na kuimarisha kiroho na kimwili kumtumikia muumba wenu Allah!

  Mungu awabariki.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,497
  Likes Received: 81,829
  Trophy Points: 280
  Waungwana mtakaojaliwa kuuona mwezi mtukufu wa Ramadhan, nawatakia mfungo mwema na maombi yenu yote mtayoyaomba katika mwezi huo mtukufu mtimiziwe na ibada zenu ziwe zilijojaa heri na baraka.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Aug 31, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Bismillahi naanza, kwa jina lake Rabuka,
  Subhanau wa kwanza, Maliki si mshirika,
  Peke yake ni muweza Karima mwenye baraka,
  Ramadhani imefika, tuyatende yalo mema!

  Wa Rehema Rahmani, tuombe atujalie,
  Mafisadi wa zamani, mbali tuwafukuzie,
  Na wanaokuja wageni, nchi tuwakatalie,
  Ramadhani imefika, tuyatende yalo mema!

  Kama wewe ni fisadi, mfungo uwe nafasi,
  Uuache ukaidi, na dini usiiasi,
  Uzilipe zote kodi, sikaribishe mikosi,
  Ramadhani imefika, tuyatende yalo mema!

  Al watani natama, wakijiji ninakoma,
  Na mwezi ukiandama, wa mfungo wa lazima,
  Nawatakieni mema, mfungao bila hima,
  Ramadhani imefika, tuyatende yalo mema!

  Al Watan Mwanakijiji (Sauti ya Shamba)
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Aug 31, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Nadhani rais wetu pamoja na makamu wake watatumia muda huu wa mfungo kutathmini kwa kina mstakhabali wa nchi yetu na wanakotupeleka.
   
 5. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..na kupunguza safari.
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Aug 31, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  ..Ramadhani Njema.
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2008
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kumekuwa na ubishi wa kila mwaka ukiongozwa na ma-Ustaadhi juu ya muandamo wa mwezi. Waumini wengi wamekuwa wakifuata mkumbo bila kujua ukweli halisi.

  Taarifa hizi hapa chini zinafafanua kwa kina mambo yanavyokua na tunatarajia waalimu watawaeleza ukweli wafuasi wao ili hata kama wanaamua wawe wanafahamu wanachofuata kuliko ushabiki na jazaba. Ramadan Karim!

  Na wale wenzetu wa Ansari Sunna;

  Hamko peke yenu!

  SOURCE Moonsighting.com
   
 8. N

  Ndivyo Ilivyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu wewe ni Reverend. Nafarijika na kauli yako ya kuungana na wenzetu wa-kiislamu katika kukamilisha ibada ya Funga. Haleluyya Reverend.
   
 9. E

  Engineer Mohamed JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2008
  Joined: Jul 27, 2007
  Messages: 461
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na mie nawatakia ramadhan njema kwa waislam wenzangu wote.
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
 11. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani tunashukuru mungu kwa kuweza kufikisha mwezi huu na pia nadhani tutaufunga salama salama kama Allah alivyopanga mwenye asante sana na salamu zako tumezipokea kwa mikono miwili
   
 12. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Rasulullah’s sermon on welcoming the month of Ramadhan.
  “O people! The month of Allah (Ramadhan) has approached you with His mercy and blessings. This is the month that is the best of all months in the estimation of Allah. Its days are the best among the days; its nights are the best among the nights. Its hours are the best among the hours.

  This is a month in which he has invited you. You have been, in this month, selected as the recipients of the honors of Allah, the Merciful. In this holy month, when you breathe, it has the thawab (heavenly reward) of ‘Tasbeeh’ (the praise of Allah on rosary beads), and your sleep has the thawab of worship.

  Your good deeds are accepted in this month. So are your invocations. Therefore, you must invoke your Lord, in right earnest, with hearts that are free from sins and evils, that Allah may bless you, observe fast, in this month, and recite the Holy Quran.

  Verily! The person who may not receive the mercy and benevolence of Allah in this month must be very unfortunate having an end as bad (in the Hereafter). While fasting, remember the hunger and thirst of tomorrow in Qiyamat. Give alms to the poor and the needy. Pay respects to your elders.

  Have pity on those younger than you and be kind towards your relatives and kinsmen. Guard your tongues against unworthy words, and your eyes from such scenes that are not worth seeing (forbidden) and your ears from such sounds that should not be heard by you.

  Be kind to orphans so that when your children become orphans they also may be treated with kindness. Do invoke that Allah may forgive your sins. Do raise your hands at the time of Salat (Prayers), as it is the best time for asking His mercy. When we invoke at such times, we are answered by Him, when we call Him, He responds, and when we ask for anything, it is accepted by Him.

  O People! You have made your conscience the slave of your desires; make it free by invoking Him for Istighfar (repentance/forgiveness). Your back is breaking under the heavy load of your sins, so prostrate before Him for long intervals and make it lighter.

  Do understand fully well that Allah has promised in the name of His Majesty and Honor that He will not take to task such people who fast and offer Salat in this month and perform ’sajda’ (prostration), and will guard their bodies against the Fire of Hell on the Day of Judgment.

  O People! If anybody amongst you arranges for the Iftar (food for the ending of the fast) of any believer, then Allah will give him a reward as if he has set free a slave. He will forgive his minor sins.

  Then the companions of Holy Prophet Muhammad (saw) said: “But everybody amongst us does not have the means to do so?”

  Holy Prophet Muhammad (saw) told them : - Keep yourself away from the Fire of Hell, by inviting for ‘Iftar’, though it may consist of only half a date or simply with water if you have nothing else.

  O People! Anybody who may cultivate good manners in this month will walk over the ‘Siraat’ (Bridge) in ‘Qiyamat’, though his feet may be shaking.

  Anybody who in this month may take light work from his servants (male or female), Allah will make easy his accounting on the Day of Judgment.

  Anybody who does not tease others in this month, Allah will keep him safe from His wrath in Qiyamat. Anybody, who respects and treats an orphan with kindness in this month, Allah shall look at him with dignity in Qiyamat. Anybody who treats well his kinsmen, in this month, Allah will bestow His mercy on him in Qiyamat, while anybody who maltreats his kinsmen in this month, Allah will keep him away from His mercy, in Qiyamat.

  Whoever offers ‘Sunnat’ (Recommended) prayers in this month, Allah will give him a certificate of freedom from Hell. Whosoever offers one ‘Wajib’ Salat in this month, for him the Angels will write the rewards of 70 such prayers, which were offered by him in any other months.

  Whosoever recites repeatedly ‘Salat and salam (Salawat)’ on me, Allah will keep the scales of his deeds heavy, when in Qiyamat the scales of others will be tending towards lightness.

  Whosoever recites in this month only one ‘Ayat’ (verse of the Holy Quran), he will be rewarded in a manner as if he had recited the full Holy Quran in the other months.

  O People! The Gates of Paradise remain opened in this month. Do invoke that the gates may not be closed on you, while the Gates of Hell are closed. Do invoke that these gates may never be opened. During this month Shaytan (Saten) is imprisoned so ask your Lord not to let him have power over you.”

  allahumma salli ‘ala sayyidina muhammad, wa ‘alaa aali sayyidina muhammad.

  ♥

  What you miss in Ramadan cannot be compensated for all year long.

  ♥

  This is a month in which you have been invited by Allah.

  Allah is sending each of you an invitation card not like any other, since this one is from the Quran. “O you who believe, fasting is prescribed for you, as it was prescribed for those before you, so that you may guard (against evil). The month of Ramadan is that in which the Quran was revealed, a guidance to men and clear proofs of the guidance and the distinction.”

  This is the invitation card but it is not inviting to food and drink, it is inviting to a banquet of mercy, blessings, and forgiveness. You have been, in this month, selected as the recipients of honors of Allah, the Merciful.

  ♥

  What better honor could there be. If all people honor you but Allah despises you, it will be all worthless. You are being honored in this month, by Allah’s call to come to Him and receive His blessings and forgiveness when nothing could save you, except your good deeds.

  Ramadhan Mubarak to all members
   
 13. M

  Masatu JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Peleka kule kwenye dini hii.....
   
 14. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2008
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,591
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Thanks a lot, thanks so much, this is indeed a good message!. brothers/Sisters let us use this month to get our creator's blessings

  Ni kipi kilicho bora, kama baraka na rehma?
  Chenye wingi ujira,kuliko kutenda mema?
  Hazina gani imara, inayoshinda hekima?
   
 15. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 135
  Hivi mtu ukifunga bila kuswali unapata hizo thawabu japo kidogo? Na kwa walioko ulaya mwaka huu ramadhani imeangukia summer, giza linachelewa kuingia- bado wanatakiwa wafuate mawio na machweo kwenye kuanza kufunga na kufungua?
   
 16. M

  Masatu JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ramadhan njema kwa wafungaji wote
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2008
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kufunga bila kusali, sawa na kukaa na njaa tu .....hupati kitu!

  na mtu yoyote anatakiwa afate mawio na machweo katika kufunga, hasa ukizingatia leo imetokezea ni summer, miaka mitano nyuma ilikuwa winter na walifunga masaa machache zaidi.

  ila kuna wanavyuoni ambao wana wazo jengine.....na kusema mtu atatakiwa kufunga kwa maximum ya masaa 16. kwa hiyo kama jua linakuwa halijazama kwa zaidi ya masaa hayo, mtu atatakiwa ale licha ya kuwa jua halijazama.

  na mungu anajua zaidi.
   
 18. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hakika tusifunge tu kula, tufunge na ulimi wetu na miili yetu kutosema na kutotamani machafu, Mungu atujaalie subra na atusamehe madhambi yetu sote
   
 19. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ujumbe mzuri sana, lakini bado sijaelewa kwa nini upo jukwaa la siasa na sio na sio kule kwenye dini
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Unapokaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani, Jiji la zenj hujaa pilikapilika nyingi mno, ni rahisi sana kutofautisha jinsi watu wanavyoishi kabla ya mwezi huo kwani kila mtu huwa kwenye pilika za hali ya juu, tofauti kabisa na miezi mengine yoyote katika mwaka.

  Kijana mmoja aliwahi kunilalamikia kuwa ingependeza kama kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikawa kama fainali za kombe la dunia kutokea mara moja kwa miaka minne tena katika nchi tofauti.
  Soma zaidi hapa
   
Loading...