Ramadhani Madabida - Je ni 'Team Lowassa' aliyeiangusha CCM Dar?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Niliwahi kusikia kuwa Ramadhan Madabida alikuwa ni Team lowassa ndani ya CCM ambaye baada ya zoezi la kukatwa kwa lowassa pale DOM alikasirishwa sana lakini akaamua kula ndimu na kumpokea mgombea wa ccm kwa bashasha 'za kinafiki' pale Airport ya Dar.

Bado lowassa aliendelea kuwaaminisha watu kuwa kuna kundi la wanaccm liko nyuma yake na litamfuata chadema...hili halijatokea mpaka leo.

Matokeo ya uchaguzi jijini Dar ni mabaya kwa ccm.

Kampeni za CCM Dar zilikuwa mbovu sana ukiondoa siku ya ufunguzi wa kampeni.

Magufuli alishtukia jambo ndio maana akaenda kufungia kampeni Mwanza.

Magufuli ametoa kauli kali dhidi ya wanafiki walioko ccm ikimaanisha kuwa hili ni jambo lililomkereketa sana.

Nahisihisi kuna jambo nyuma ya pazia juu ya Mwenyekiti huyu wa ccm Dar,lowassa na anguko la ccm Dar.
 
Mnashikana uchawi bure kwa Dar hata chairman angekua Mangula CCM ingeanguka tu!tena hayo majimbo mliyoambulia kwa magumashi kachinjen kuku
 
Niliwahi kusikia kuwa Ramadhan Madabida alikuwa ni Team lowassa ndani ya CCM ambaye baada ya zoezi la kukatwa kwa lowassa pale DOM alikasirishwa sana lakini akaamua kula ndimu na kumpokea mgombea wa ccm kwa bashasha 'za kinafiki' pale Airport ya Dar.

Bado lowassa aliendelea kuwaaminisha watu kuwa kuna kundi la wanaccm liko nyuma yake na litamfuata chadema...hili halijatokea mpaka leo.

Matokeo ya uchaguzi jijini Dar ni mabaya kwa ccm.

Kampeni za CCM Dar zilikuwa mbovu sana ukiondoa siku ya ufunguzi wa kampeni.

Magufuli alishtukia jambo ndio maana akaenda kufungia kampeni Mwanza.

Magufuli ametoa kauli kali dhidi ya wanafiki walioko ccm ikimaanisha kuwa hili ni jambo lililomkereketa sana.

Nahisihisi kuna jambo nyuma ya pazia juu ya Mwenyekiti huyu wa ccm Dar,lowassa na anguko la ccm Dar.

Asante bro ila kwa dar ccm kushinda ni ngumu sana na hata hivo viti walivyopata wanastahili sifa sana
Zipo factors nyingi sana zilizowafanya ccm kushindwa na kama wana akili timamu watafanya utafiti wa nguvu sana wajue why
 
ccm wanaweza shinda sehemu yenye giza kwanguvu za wizi dar watu wengi wana akili na watu wenye akili ni sumu kwa ccm majimbo machache waliyo shinda wameshinda kwa kuuiba na kujitangazia ushindi kibabe mfano mbagala!
 
Dar tutaitazama kwa kina kama tulivyoitazama Mwanza.

Kama ni soccer utasema tulishambulia sana, tukatumia mpaka walinzi kushambulia na kuacha ngome yetu ikiwa "vulnerable".

Tutahakikisha tunayarudisha majimbo ya Dar kabla ya uchaguzi ujao.

Mtaisoma namba.
 
Unamaanisha mapingamizi?
 
...hivi kitufe cha like kimeenda wapi? sio mpango umefanyika wa kipuuzi hapa? na kwanini kiondoke hicho tu vingine vibaki??
hii jf nahisi inaongozwa na 'taasisi'.
very fake indeed!
 
Dar tutaitazama kwa kina kama tulivyoitazama Mwanza.

Kama ni soccer utasema tulishambulia sana, tukatumia mpaka walinzi kushambulia na kuacha ngome yetu ikiwa "vulnerable".

Tutahakikisha tunayarudisha majimbo ya Dar kabla ya uchaguzi ujao.

Mtaisoma namba.

...eti mtahakikisha mnayarudisha majimbo ya uchaguzi ya dar "kabla ya uchaguzi ujao" hahahaaaaa....***** km hilo likitokea we bibi lazima nikuoe..!!
 
Tena nyoko kweliiii...mxiuuuuuuuu......dar haina mabwabwaa..imejaa watu na akili zetu...wanadhan msoga hapa
 
Hv ww una cheo chochote ndani ya chama! !? Ama mpiga zumari tu unajibabadua kuliko wabunge na madiwani wa chama ebo!
 
...eti mtahakikisha mnayarudisha majimbo ya uchaguzi ya dar "kabla ya uchaguzi ujao" hahahaaaaa....***** km hilo likitokea we bibi lazima nikuoe..!!

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Kwetu kuolewa mwiko!
 
Tena nyoko kweliiii...mxiuuuuuuuu......dar haina mabwabwaa..imejaa watu na akili zetu...wanadhan msoga hapa

...ujue hawa wapuuzi washatuona km magogo; kama tumeshindwa field,hata jf?! HAPANA..
 
Back
Top Bottom