Ramadhani ilivyomchukua Spika Makinda. ujumbe tosha kwa wanasiasa wanawake wa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ramadhani ilivyomchukua Spika Makinda. ujumbe tosha kwa wanasiasa wanawake wa chadema

Discussion in 'Jamii Photos' started by Malaria Sugu, Jul 23, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mama makinda akiwa na Mh rais wa Zanzibar
  [​IMG]

  hii ni funzo kwa wabunge kama mdee na wengine wa chadema

  [​IMG]mama halima mdee

  [​IMG]
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Amependeza.
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Kwa nini kuiga utamaduni si wako?
  Mama Ngoye is much more natursl.
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  kwaresima na nyie mvae rozari kama nyinyi mnavyotaka wenzenu kuvaa ijabu wakati wa ramadhani.
   
 5. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nimecheka sana mkuu na maneno yako hayo, unajua kaonekana kituko kwa sababu alivaa oversize.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kilemba kama bibi Tarabushi!!
   
 7. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mnapenda sana Unafiki enhe! Kwahiyo hapo kavaa hijab basi roho kwatu!!! Hata akiibia nchi mamilioni nyie mwakoroma tu!
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Umependeza sana Spika Makinda, sasa achana na yale manywele ya bandia.
   
 9. A

  August JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  alifanya hivyo baada ya kuwa anaweweseka usiku, baada ya sakata la meli, sasa mganga wa kumwagua aliambiwa yuppo visiwani , na ili umuone laima uvae hijab, hapo kwa dr Shein alipita tu, ili isijulikane anako kwenda. lol
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Senki yuu vere macheee!!!!!!!!!!!!
   
 11. n

  ngozimbili JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 823
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  watu wa ajabu kabisa mnalikejeli vazi alilovaa BIKIRA MARIA!
   
 12. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ameheshimu tuu hakuna zaidi, na wale ma sista wakanisani mbona wana vilemba na nguo ndefuu au mmeona alochovaa spika Makinda ndio chaajabu machoni kwenu,au mme muons kafanana na Bi nyakomba ndio mana mnasema?
   
 13. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mbona shein havaaa baraghashia?
   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Pole kwa ban karibu tena jisikie upo JF ushauri wa bure punnguza udini na hoja zisizo na mashiko. Join Date : 23rd July 2012 Posts : 5 Rep Power : 142 Likes Received 0 Likes Given 0
   
 15. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kumbe gauni la spika kubwa....CCM mtamuua huyu mama kazi mliyompa ngumu! au mnaona aibu kumrudisha SITTA
   
 16. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kibaraghashi sio lazima (kwa mwanaume) ila HIJAB ni lazima (kwa mwanamke)
   
 17. n

  nmiku Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yeye kuvaa vazi hilo kuna uhusiano gani na wabunge wa Chadema? Hata hivyo yeye anajulikana kwa kujipendekeza na hapa yuko kwenye harakati za kujipendekeza. Simamia nafsi yako ikutumavyo na siyo nafsi za wengine!
   
 18. R

  Renegade JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Kwanini wanachadema peke yao na si wabunge wote wanawake? Yeye si ndo Supika ya Bunge?
   
 19. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bendera fuata upepo!!
   
 20. 1

  19don JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  [​IMG][/QUOTE]

  kwa mujibu wa dini ya saw kupeana mikono huku ni sawa? wale wanaoijua vizuri waje watoe ufafanuzi tusiangalie kilemba tu
   
Loading...