Dogo mie ni mwajiri sasa hivi ingawa unadai sina akili. Acha roho ya kwanini, si kila mtu lazima aajiriwe; ukienda nchi kama Kenya au Uganda watu wanajisifu kujiajiri. Wewe unahangaika na kuajiriwa serikalini. Serikali hata ikiajiri kwa mkataba wa muda mfupi haitawaajiri nyote. Kazana na kujiajiri na uwe proud of thatKwako Kazi ni ipi? Huna akili..Wewe kufanya husda ni ruksa ila wewe ukiguswa ndio ubinafsi unazaliwa sio?
Narudia tena ni wakati muafaka kwa serikali kuanza kuajiri watu kwa mikataba ya mda mfupi,hii ya kudumu inafanya watumishi wanakuwa jeuri na wasiowajibika kama wewe.
Na ndio maana mbambo hujirudiarudia maana wanajua hakuna kuwajubishwa kwa namna itakayotoa fundisho kwa wengine.Kuna waliowajibishwa kutokana na hii experience au kama kawaida yetu yamekuwa maongezi ya kwenye majukwaa? Kama hakuna accountability usitegemee kupata responsible people period!
Dikteta na kundi lake walikuwa wanamuwekea vikwazo vya kila aina,mzee alikuwa na roho mbaya sanaRamadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Tanzania na Samia raha tupuRamadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Bakubaliana na wewe 100%Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Hali ilikuwa mbaya sana aiseRamadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Ndio maana akaja Rais SamiaInauma lakini aise
Corruption is a problem. Competent people with corrupt minds aren't helpfulHii nchi imejaa majitu incompetent ndio sababu, serikali ifikirie kufuta mtindo wa ajira za kudumu wahamie ajira za mkataba
Tunajitekenya na kucheka kama kawaidaLengo lako lilikuwa nini katika kichwa hicho cha habari, huyu Mama yetu hakuwepo awamu iliyopita? Kwanini hakutoa ushauri kwa namba moja enzi hizo?
Yanaenda pamoja,pia kuwe na desk maalum la kuripoti huu upumbavu.Corruption is a problem. Competent people with corrupt minds aren't helpful
Ka uzi kenyeweRamadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
This should be a mushroom industry.Hicho kiwanda kimepata eneo na kimejengwa na kuisha ndani ya miezi 8 ya rais Samia. Safi sana
Mkuu Nyboma ushauri si SHURUTI......Lengo lako lilikuwa nini katika kichwa hicho cha habari, huyu Mama yetu hakuwepo awamu iliyopita? Kwanini hakutoa ushauri kwa namba moja enzi hizo?
😍Bakubaliana na wewe 100%
Mnoooo mkuu wangu 👍Tanzania na Samia raha tupu
Huna hata mfano mmoja wa kuuweka hapa.Ili kukomesha huu upuuzi ni lazima kuwe na mikataba ya mda mfupi,upo sehemu nyingi tuu Duniani.
Wewe ni moja ya hao watumishi uchwara mnaozingua.
Kaziiendelee chiefMnoooo mkuu wangu 👍
Inasikitisha Sana urasimu unaofanywa na watendaji. Mtanzania mwenzenu unamzungushazungusha tu lakini mgeniRamadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.