Ramadhan Mubarak Jamaa Muslim

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Nichukue fursa hii kwa dhati ya Moyo wangu kuwatakia waumini wote wa dini ya Kiislam mnashiriki jamvini kudumisha wingi wa ibada na kujikurubisha kwa Muumba ili kupata radhi zake.

Hakuna tofauti za mwezi wala makundi, inatia faraja

Ramadhan Mubarak

ADIOS
 
Back
Top Bottom