Ramadhan Hamis Ntunzwe azidi kuanika Madudu ya TRA. Amwangukia Rais Samia

Makamu wa raisi, waziri wa fedha watajifanya ajayasikia. Halafu waziri mkuu na Ndumbaru; hawa watu bado vigogo serikalini watu ambao sakata wanalijua vizuri tu.

Dhambi hizi malipo hapa hapa duniani. Si wampe tu billioni moja yaishe.
Sakata la Ramadhanu Ntunzwe linajulikana office zote zenye mamlaka huska hadi kwa Katibu Mkuu w Ccm. Kamishina TRA. Kamishina Makamu Tra, Waziri Mkuu na Hadi Ikulu. Hoja zake wanazikubali na waliahidi kumlipa lakini hawajatekeleza.
 
Si ndio hapo inashangaza kweli itakuwa kuna mtu huko TRA ana roho ya kwanini.

Huyu mtu ameshawashinda mahakamani na amepangua hoja zao za kutunga TRA kwenye vikao vyao walivyofanya wizara ya fedha na Ndumbaru aliridhia jamaa amedhulimiwa.

Kwanini wasimpe haki yake tu; ukimsikiliza kwa makini anachotafuta sana ni haki japo haki yenyewe ni malipo ya hela. Ila nadhani kwa tafsiri yake haki itampunguzia maumivu ya kumpoteza mkewe na mama yake ambao walifariki kutokana na stress ya ili sakata.

Kama watanzania karibu wote tumesikia kilio chake ni muda wa serikali kumpunguzia stress walizompa kwa kumlipa chake aanze kutafuta namna ya kujitafutia amani kichwani kwake.

Ata sijui kwanini huko TRA kuna mtu amekazana huyo bwana asilipwe roho mbaya tu.
 
Atunze copies za documemts zake vizuri.Hii itaweza ondoka na wengi

Hebu tuulizieni hapo Police Msimbazi kwa nini hawakupeleka kesi mahakani kwa wizi uliofanywa na TRA?
 
Huyu mtu ameteswa sana. Na kwa kipindi kirefu amebugudhiwa kwa mura mrefu sana. Je ni ujumbe gani wanaituma kwa walipa kodi na wafanya biashara wengine? Viongozi wa kisiasa na kiserikali wapo ?

Maelekezo ya Rais, Naibu Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha yanadhauliwa.... Je sisi wengine vipi?

Hofu ya Mungu aliyonayo huyo Rais ambaye hawezi hata kuelekeza wasaidizi wake waijibu barua ya mwananchi anayefuatilia haki yake ni ya aje hiyo?
 
Si ndio hapo inashangaza kweli itakuwa kuna mtu huko TRA ana roho ya kwanini.

Huyu mtu ameshawashinda mahakamani na amepangua hoja zao za kutunga TRA kwenye vikao vyao walivyofanya wizara ya fedha na Ndumbaru aliridhia jamaa amedhulimiwa.

Kwanini wasimpe haki yake tu; ukimsikiliza kwa makini anachotafuta sana ni haki japo haki yenyewe ni malipo ya hela. Ila nadhani kwa tafsiri yake haki itampunguzia maumivu ya kumpoteza mkewe na mama yake ambao walifariki kutokana na stress ya ili sakata.

Kama watanzania karibu wote tumesikia kilio chake ni muda wa serikali kumpunguzia stress walizompa kwa kumlipa chake aanze kutafuta namna ya kujitafutia amani kichwani kwake.

Ata sijui kwanini huko TRA kuna mtu amekazana huyo bwana asilipwe roho mbaya tu.
Kwa hio TRA kulikua na mtu Ni mbabe kuli Magu sio?Maana hata yeye hii issue ilimshinda
 
Kwa hio TRA kulikua na mtu Ni mbabe kuli Magu sio?Maana hata yeye hii issue ilimshinda
Labda kama unataka kubisha tu alielianzisha ilo sakata ni Magufuli.

Jamaa aliporudi hadharani tena kuongea jinsi TRA wanavyopiga danadana. Magufuli huyo huyo aliposikia tena kama umemsikiliza mlalamikaji alimuagiza waziri mkuu alimalize haki itendeke asilisikie tena.

Kabla ya mkutano wao wa mwisho March; Magufuli akakata na walioachiwa kazi wakampotezea mlalamikaji.

So common sense tu inaonyesha serikalini upande wa wizara na kwa raisi awakuwa na shida kulipa; issue ipo TRA kuna mtu ataki kuakiki stahiki zake halali jamaa alipwe aendelee na maisha.

Ni mtu mmoja au kikundi cha watu wachache inaonekana huko TRA wana personal vendetta na huyo bwana wala sio taasisi yote yenye shida. Maana Magufuli alishaagiza wizara ya fedha wasikilize na wamlipe madai yake.
 
Labda kama unataka kubisha tu alielianzisha ilo sakata ni Magufuli.

Jamaa aliporudi hadharani tena kuongea jinsi TRA wanavyopiga danadana. Magufuli huyo huyo aliposikia tena kama umemsikiliza mlalamikaji alimuagiza waziri mkuu alimalize haki itendeke asilie sikia tena.

Kabla ya mkutano wao wa mwisho March; Magufuli akakata na walioachiwa kazi wakampotezea mlalamikaji.

So common sense tu inaonyesha serikalini upande wa wizara na kwa raisi awakuwa shida kulipa; issue ipo TRA kuna mtu ataki kuakiki stahiki zake halali jamaa alipwe aendelee na maisha.

Ni mtu mmoja au kikundi cha watu wachache inaonekana huko TRA wana personal vendetta na huyo bwana wala sio taasisi yote yenye shida. Maana Magufuli alishaagiza wizara ya fedha wasikilize na wamlipe madai yake.
Kwa hio Tangu Magu aagize jamaa alipwe hela yake hio juni 9/2019 then hakufuatilia Tena lagizo lake Kama limetekelezwa mpk anakata Moto miaka 2 baadae sio?

Tatizo Lako hua unadhani ukiandika gazeti reeefu ndio umeandika point.
 
Msikilize kwanza nikisema niandike yote aliyoongea kwenye huo mkutano wake huyo bwana basi kama gazeti limekuchosha; kuelezea A-Z ni kitabu.

Hivi unadhani raisi ana muda wa kusikiliza individual cases za kila mtu akishatolea maamuzi especially mtu kama Magufuli ambae kila akisimama anakutana na kesi jumlisha na majukumu yake mengine.

Jamaa ni kama anakumbushia tu serikali haki yake ajaipata bado.
 
tukipata watanzania 500 kama Ramadhan Ntunzwe, katiba mpya inapatikana na tume huru ya uchaguzi...!
 
Huyu tajiri alifanyiwa huo ugaidi enzi za mzilankende..mzilankende alikuwa na roho mbaya kwelikweli..hivi matoto ya mzilankende huwa yamo humu jamii forum??...
 
Back
Top Bottom