Ramadan in 2013 will start on Tuesday, the 9th of July

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
When is Ramadan in 2013?

Ramadan in 2013 will start on Tuesday, the 9th of July and will continue for 30 days until Wednesday, the 7th of August.
Based on sightability in North America, in 2013 Ramadan will start in North America a day later - on Wednesday, the 10th of July.
Note that in the Muslim calander, a holiday begins on the sunset of the previous day, so observing Muslims will celebrate Ramadan on the sunset of Monday, the 8th of July.
Although Ramadan is always on the same day of the Islamic calendar, the date on the Gregorian calendar varies from year to year, since the Gregorian calendar is a solar calendar and the Islamic calendar is a lunar calendar. This difference means Ramadan moves in the Gregorian calendar approximately 11 days every year. The date of Ramadan may also vary from country to country depending on whether the moon has been sighted or not.
The dates provided here are based on the dates adopted by the Fiqh Council of North America for the celebration of Ramadan. Note that these dates are based on astronomical calculations to affirm each date, and not on the actual sighting of the moon with the naked eyes. This approach is accepted by many, but is still being hotly debated.

http://www.makkahcalendar.org/en/islamicCalendarDownload.php
 
wonderfull,itakuaje tarehe 9 mwezi utaandama wakati inategemea mwandamo wa mwezi
 
Nauchukia huo mwezi acha tu!
Biashara ya bia na kitimoto inakatisha tamaa.
 
karibu mwezi wa toba.mwezi wa kufutiwa mazambi. Mwezi wa kutoa. Mwezi wa kufutulisha watu
 
Bado mafundisho ya mtume hayajaeleweka. Aliposema fungeni kwa kuuona mwez haimaanishi kila mtu auone ama uonekane ktk nchi husika ndo ufunge. It means hata ukionekana China all Africans muslims must be on fasting as what China did. Recall pale mtume aliposema swalini kama mnavyoniona nikiswali,je hapo alimaanisha waislamu wa Tz wasimfate kwasababu hawakumuona wakati akiswali kwani kauli hiyo aliitoka Mecca so inawahusu watu wa Mecca tu
 
Nauchukia huo mwezi acha tu!
Biashara ya bia na kitimoto inakatisha tamaa.

Hiyo ni busara ya Uislaam, mwezi wa kuwakumbusha Waislaam wamrejee Mola wao. Hayo uliotaja ni upotofu na ukafiri.
Je, makafiri wana muhula wa kumkumbuka muumba wao ?

'Hakika wakosefu (Makafiri) wamo katika upotofu na wazimu'
Q:Al Qamaar:47.
 
But why mauzo ya kitimoto na bia yashuke, au hao "makafir" unaowataja wanawajoin kufunga?
 
umefanya utafiti wa kushuka mauzo lakini umeshindwa kufanya utafiti wa kujua wateja wanaenda wapi ?!
 
Asante kwa taarifa. Ila huwa nashangaa kwa nini huu mwezi ukianza bei ya vyakula vinapanda sana...kuna mwenye kunijuza sababu huwa ni nini? Nawatakia kila la heri wanaousubiri mwezi wa Ramadan
 
nauchukia huo mwezi acha tu!
Biashara ya bia na kitimoto inakatisha tamaa.

analysisi yako ni ya kimwili zaidi,chukua hii yakiroho zaidi,"tambua fadhila za mwezi mtukufu wa ramadan,huwa allah anamfunga shetani asiwashawishi binadamu wote(wakristu,waislam na wapagani wote) ktk maovu,hivyo basi wale makafiri wanaofanya uovu wanaacha coz hakuna wakuwashawishi,ukimuona binadamu yoyote anafanya maovu kwenye mwezi huu, ujue kabigwa muhuri kwenye kifua chake, hivyo basi makafiri wengi wanaacha kufanya maovu,na allah ni mjuzi wakila kitu,ndugu yangu jisalimishe tu kwa mwenyezi mungu (be muslim)
 
Hiyo ni busara ya Uislaam, mwezi wa kuwakumbusha Waislaam wamrejee Mola wao. Hayo uliotaja ni upotofu na ukafiri.
Je, makafiri wana muhula wa kumkumbuka muumba wao ?

'Hakika wakosefu (Makafiri) wamo katika upotofu na wazimu'
Q:Al Qamaar:47.

Teh, kumbe waislamu mnamkumbuka Mungu kwa mihula?????!!! Basi poleni, sisi tuna mkumbuka Mungu kila sekunde, kila dakika, kila saa, kila siku, kiufupi "all the time"
 
When is Ramadan in 2013?

Ramadan in 2013 will start on Tuesday, the 9th of July and will continue for 30 days until Wednesday, the 7th of August.
Based on sightability in North America, in 2013 Ramadan will start in North America a day later - on Wednesday, the 10th of July.
Note that in the Muslim calander, a holiday begins on the sunset of the previous day, so observing Muslims will celebrate Ramadan on the sunset of Monday, the 8th of July.
Although Ramadan is always on the same day of the Islamic calendar, the date on the Gregorian calendar varies from year to year, since the Gregorian calendar is a solar calendar and the Islamic calendar is a lunar calendar. This difference means Ramadan moves in the Gregorian calendar approximately 11 days every year. The date of Ramadan may also vary from country to country depending on whether the moon has been sighted or not.
The dates provided here are based on the dates adopted by the Fiqh Council of North America for the celebration of Ramadan. Note that these dates are based on astronomical calculations to affirm each date, and not on the actual sighting of the moon with the naked eyes. This approach is accepted by many, but is still being hotly debated.

Download Printable Islamic Calendar 2013 (1434)/ Hijri Calenadr 2013 (1434) and Islamic Calendar 2012 (1433)/ Hijri Calenadr 2012 (1433)

Asante kwa taarifa. Unaweza kudhani umefanya jambo dogo na la kawaida, ila mbele ya ALLAH ni kubwa na jema ambalo malipo yake pia ni makubwa na mazuri. Hivyo, naomba usiache kutujuza wakati wowote uwapo na taarifa muhimu kama hizi.
 
tuzidishe maombi yetu mwenye mwezi mtukufu kama huu na kuonyesha jinsi gan uislam c ugaidi kama wanavyoupotrey hao wanaojiita salafist
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom