Ram ya huawei y300

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Wanabodi
Naomba njia ya kufanya Ram yangu iwe na space nzuri maana naona kama nafasi ni ndogo kama inavyoonekana picha. Je tatizo hili halifanyi simu kuwa nzito?

Ahsante.
 

Attachments

  • 1401266548926.jpg
    1401266548926.jpg
    51.6 KB · Views: 89
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom