Elections 2010 Raj Patel

aaaah huyu mhindi ambaye yupo njeee namfahamu bwana!
 
yeah lakini alisema wazi wataendelea kudhibiti asilimia 60 ya uchumi wa Tanzania na alitamba kuwa wapo bungeni, wako CC na wamejaa kwenye uchumi.
 
Badala mjenge uchumi, mwakaa hapa mkianzisha threads zisizo za maana za kuponda wenzenu, ni lini mtakapo elewa shida si watu kutoka nje, ni nyinyi wenyeji ndio mnaoiharibu tanzania. Nyinyi ndio mnaopigia akina JK kura na wala si hao wahindi, nyinyi ndio mnaochagua legislators na civic leaders na wala si wageni mnaowaona wanafisadi nchi. A very small percentage of Indians engage in shady dealings, najua wengi wao ni wafisadi, lakini hii haituruhusu ku warundika wahindi wote kwenye category moja. Tusiwe wakusingiziana, tu learn ku accept realities as they come, you are the only ones who will build or destroy this beautiful countries, stop shifting blames and accept your responsibly as a citizen. complaining on Blogs and forums daent count. Enjoy your weekend gentlemen
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom