Raisi wetu mpendwa inabidi aingizwe kwenye kitabu cha guiness(world book of record)

alishasema anataka dunia imkumbuke sasa unazani watamkumbuka kwa lipi zaidi ya hili?
 
Pia naona anaweza pia kungia Guinness kama Raisi aliyetoa ahadi nyingi zisizotekelezeka duniani
 
kuna uwezekano wa rais wetu mpendwa kikwete kuingizwa kwenye kitabu cha worl book of record yaani guiness au kwenye jarida la belive or not, kutokana na safari zake za nje ya nchi. Amempiku mobutu wa zaire enzi hizo make na yeye alisafiri nje ya nchi yake kuppita kiasi. Hakuna raisi hata wa chi tajili kama marekani anaye karibia record ya raisi kikwete, amempiku hata mugabe aliye kaa madalakani takribani maika 30 sasa. Tuna wasiliana na taasisi zifuatazo ili kuona procedure za kumuingiza kwenye kumbukumbu hizo.
1. Kitabu cha guiness
2 na jarida la belive or not
hizi taasisi mbili ndizo zinazo husika na kuangalia record mbalimbali.

Mwacheni anaenda kutuombea neti za kujikinga na mbu na chakula si unajua kwa sasa kuna njaa kali
 
Ndio mafanikio kwa raisi kipenzi cha watu Dr kikwete.......
 
Back
Top Bottom