Raisi wetu mpendwa inabidi aingizwe kwenye kitabu cha guiness(world book of record) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi wetu mpendwa inabidi aingizwe kwenye kitabu cha guiness(world book of record)

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by CHASHA FARMING, Jun 18, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  kuna uwezekano wa rais wetu mpendwa kikwete kuingizwa kwenye kitabu cha worl book of record yaani guiness au kwenye jarida la belive or not, kutokana na safari zake za nje ya nchi. Amempiku mobutu wa zaire enzi hizo make na yeye alisafiri nje ya nchi yake kuppita kiasi. Hakuna raisi hata wa chi tajili kama marekani anaye karibia record ya raisi kikwete, amempiku hata mugabe aliye kaa madalakani takribani maika 30 sasa. Tuna wasiliana na taasisi zifuatazo ili kuona procedure za kumuingiza kwenye kumbukumbu hizo.
  1. Kitabu cha guiness
  2 na jarida la belive or not
  hizi taasisi mbili ndizo zinazo husika na kuangalia record mbalimbali.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mara ngapi?????ameshajimuvuzsha???
   
 3. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Takwimu plz!
   
 4. C

  CYPRIAN MKALI Senior Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TOA data ilikuzipa mashiko point zako. wadau tunaomba data ili taarifa iwe ya kisomi zaidi.
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  inasemekana mara 208
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  mara 312 na mpaka mwishoni mwa mwaka huu itakuwa kwenye 400 mobutu alisairi nje mara 300.
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hiyo tayari ni sifa kwa Tanzania kama akiingizwa kwenye kitabu cha guiness record.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sawa ngoja amalize awamu yake then ndio tutapata takwimu kamili....ingawa hadi sasa seseseko ametupwa nje ya rekod hii mpya
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Unajua J.K ni pwoyoyo sana,Marekani viongozi wanasafiri sana lakini kuna mambo mawili:mosi,katika kusafiri wanabalansi sana,mfano Obama akienda Ulaya ama Latina,Clinton atakwenda Asia ama Mash/kati.pili wamarekani wanasafiri ili kukagua miradi ya nchi yao ( ya Marekani) na kuilinda tofauti na J.K yeye anaizunguka dunia yote peke yake kana kwamba hana wasaidizi kwenye serikali,na pili safari zake yeye ni matanuzi na nyingi si kwa masrahi ya watanzania...sasa wenzie wanakagua miradi k.v majeshi,mafuta,gas,madini,demokrasia,n.k,J.K yeye yuko bize anauza sura,anabembea na kutembeza bakuli,yeye anaita "KUEMEA"!!!

  Ni sawa sawa na kusema J.K ni jeshi la mtu mmoja,kwenye kuomba misaada ni yeye,kwenda kuhani ni yeye,kuhudhuria mikutano ni yeye,kuhudhuria kuapishwa maraisi ni yeye,kuhudhuria birthday party ni yeye,kwenda kushangaa ni yeye,ndoa ya mfalme Muswati ni yeye,....Hizi zote ni rekodi za J.K,a.k.a the presidaa
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huo Mchakato uanze mapema ili apatikane ili achukuwe ushindi na kitita cha $$$$
   
 11. p

  plawala JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu tupigieni na hesabu hizo safari zimegharimu wastani wa sh ngapi
   
 12. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Alishasema na namnukuu "Nisiposafiri kwenda nje ya nchi tutakufa na njaa" mwisho wa kumnukuu! Njaa iko palepale Kudadaadeki!
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kuna wachaga roho zinawaumaaa.
   
 14. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  anasema anaenda kutafuta mkate kwa ajili yenu watanzania, au mnataka mle nae mihogo ya msoga
   
 15. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sanaa mkuu kwa kuleta hii hoja,..mwenyekujua zaidi makadirio ya gharama ya hizo safari itakuwa pouwa sanaa ili wajuukuu wetu waje kufukua maiti yakee na kuichapa bakoraa kwa kutuongezea umasikini...shame on you mkweree
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  anasaka mahela
  [​IMG]
   
 17. M

  Mkali wa Leo Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  akiingizwa kwenye guines itakuwa mzuka sana mana kitita atakachopewa kitatumika kwenye maendeleo ya nchi.asante sana mtoa mada.
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nipe full data niipeleke bealive it not au tuwaandikie world book of record[h=2]itakuwa mfano mzuri kwa viongozi wajao[/h]
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,228
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kwamuji wa takwimu ni kuwa leo hii anatimiza safari ya 310 pale ushelisheli!!
  Kuna thread jana iliwekwa hapa!
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,228
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Topic: Safari ya 310 ya JK nje ya Tz ni Shelisheli kesho!!

  Yericko 08:27 PM Yesterday

  Kutoka uswisi sharobaro wa tz anatua ushelisheli akilimiza safari ya 310.
  ?Edit? ?Reply? ?Report Post?

  Skills4Ever 08:29 PM Yesterday

  Duuu zaidi ya Vasco Da Gama yeye atakuwa amevunja rekodi dunaini aiisee duuu jamaa anapenda sana kusafiri
  ?Reply? ?Report Post? Thanks *

  Njowepo 08:34 PM Yesterday

  Kwa raha zake afanyeje tena uko shelisheli ni mgeni maalum kwa nini asiende ukizingatia uchumi wa nchi unapaa mwache ajipongeze
  ?Reply? ?Report Post? Thanks *

  jnuswe 08:39 PM Yesterday

  Duuuh ! safari 310
  ?Reply? ?Report Post? Thanks *

  Che-lee 11:04 PM Yesterday

  Nimejitahidi kutafuta records za marais waliosafiri safari nyingi zaidi nje ya nchi zao dunia kwa mwaka bado kikwete yupo juu!!
  ?Reply? ?Report Post? Thanks *

  Wacha1 11:08 PM Yesterday

  Originally Posted by Skills4Ever:
  Duuu zaidi ya Vasco Da Gama yeye atakuwa amevunja rekodi dunaini aiisee duuu jamaa anapenda sana kusafiri

  Mwizi ...... ....... hana lolote.
  ?Reply? ?Report Post? Thanks *

  Lyaule Kitundu 01:53 AM Today

  kuna mtu anajiita faizafoxy atakuja tu hapa muda si mrefu kumtetea mkwe wake, utasikia eti alikuwa anatafuta misaada
  ?Reply? ?Report Post? Thanks *

  SHERRIF ARPAIO 02:57 AM Today

  Sssshhhh....William Malecela atakusikia
  ?Reply? ?Report Post? Thanks *
   
Loading...