Raisi wangu.

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Wanajamii wenzangu. Kwanza naomba mnisamehe kwa swali langu, sababu wengine watanichukulia visivyo.

Mimi ni ndugu wa damu na Tanzania. Lakini Nina vitu vingi sana vya kumweleza na kumshauri Rais. Lakini tangu tumepata Rais mpaya, nimejaribu kutafuta mawasiliano na yeye ya moja kwa moja, unfortunately nimeshindwa kupata. Tena hata ya kimaandishi tu.!!!

Najua wanazuia pengine kwa kuogopa juu ya mkate wao.au pengine wana sababu zao nyingine za kimaslahi..Mimi sina tatizo nao. Lakini kuna watu nataka tu kuwakumbusha, tena ktk vitabu vya Mungu. Mimi siyo msomi mzuri sana wa hivyo vitabu. Lakini nataka tu kumkumbusha Rais juu ya wale watu waliotaka kumpiga Yule mwanamke kahaba mawe?na bila wao kujua akili ya Yesu ati kwa sababu anakula Kama wao na anakwenda chooni Kama wao, basi walimdharau. Kumbe wasijue kuna watu wachache sana wa Mungu ambao wanaishi hapa duniani. Majibu yake kwao, basi kila Mwanaume alitizama chini Kama punda mzee So. Pls nisaidieni niweze kuwasiliana naye moja kwa moja kwa manufaa yetu.

Kwa nini imekuwa vigumu sana kuwasiliana na kiongozi wetu huyu? Kwani kuwa kiongozi inamaanisha ujifiche kwa wale unaowatawala?. Raisi wangu naomba tuwasiliane naomba uwe Rais wa watu wa Tanzania. Na Siku tukikutana, I hope hutajuta.
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,729
2,000
Kama una ishu ya muhimu nenda ikulu kaweke appointment, watakuuliza shida yako na kuipima, kama wanaweza kukusaidia wao watakusaidia bila kumsumbua mh. Raisi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom