Raisi wangu Magufuli kuwa makini na maneno unayoyatamka kwenye majukwaa

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Wewe tayari umeshakuwa raisi wa nchi amiri jeshi mkuu hauna haja ya kuongea kana kwamba bado upo kwenye kipindi cha kampeni.
Unatoa matamko mawaziri wako wanakuja kukanusha, mwishowe utakuwa unatoa matamko wananchi wanachukulia kawaida mwishowe wanakudharau.

Mfano mzuri ulisema watu wazidi kufyatua watoto maana kuna elimu bure ukasahau kuwa shida sio elimu pekee bali na lishe ya kuwalisha watoto wengi itatoka wapi. Sasa waziri wako amekuja kukanusha kuwa ulikuwa unatania
 
Jamani mumuonee huruma huyu kiumbe,hakutegemea kuupata urais bado yupo kwenye excited state akitulia haya yote hayatatokea,bado anatafuta kiki,akizoea uongozi atakuwa vizuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom