osama BLD
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 561
- 294
Kwanza nianze hivi mimi nina miaka 35 babangu ana miaka 58 katumbuliwa kwa cheti mzee analalamika. Nimemuliza lakin cheti c kweli feki jibu ndio.
Basi nimemuambia anapasa kushukuru kuiba miaka yote hiyo na ameweza kutusomesha, kajenga nyumba 3, anakausafiri kake. Hivyo akae kimia.
Sasa nasifia raisi wangu kwa uamizi huo aliofanya na apate pongexi la kimataifa alipo .
Kosa la mtukufu raisi ni kwamba watu hao wameibia serikali angetoa agizo kila kila mmoja a pigwe faini ya sawa na mshahara wake wa miezi 3 ili watie akili.
Pamoja na hayo mengine yakiwa pale pale ya kutopewa malipo mengine naomba raisi ulingalie hilo....ili tuongezee hela ya kujenga barabara, dawa na ndege..
Yangu ndio hayo