Raisi wangu magufuli chonde chonde usirudie Yale yale

Wanasema kuwa rais Magufuli ni mzalendo sana, ni nabii yule ajaye hivyo hawezi kukosea. Ni mtakatifu aliyeteuliwa na kupendeza machoni pa Mungu.
 
Mnapenda tu kumuongelea.... eeeeeh

Hongera kwake

Magufuli 2020
Lakini wewe umewahi kufikiri ni wapi tulipojikwaa mpaka tunapigwa na wawekezaji kiasi hiki?!

Muundo wa utawala wetu ni tatizo na 1. Katiba yetu kufanya Rais mungumtu ni tatizo kubwa zaidi. Angalia kama sasa tunakimbizana na mawaziri na wanasheria wakuu wa wakati huo huku Mkapa na Kikwete wakiwa wanakula bata!!!
 
Ila jana si kasema tume ya sheria iunde sheria na kwamba mikataba yote ipitiwe ipelekwe mbungeni hata ya gas,basi nami ombi langu Rais isiwe madini tu bali mikataba yote yenye kuhusu rasilimali za Tanzania,m
kataba mmoja baada ya mwingine upitiwe tu,hata kama ni makaburi ya mwaka arobaini na saba wacha tuyafufue tu. Umeamua kuwa msafi kuwa msafi kweli kweli,Mungu hapendi vuguvugu anataka ukiwa moto uwe moto kweli,na ukiwa baridi kuwa baridi kweli tena ugande haswaaaa!!! . Vuguvugu anasema nitakutapika!! Hope hutapendwa kutapikwa na Mungu,tunakuombea uamue moja tu.!!
 
Naungana na raisi katika juhudi zake za kupigania Tanzania yetu.
Leo kwenye ripoti ya pili ya kujua ukweli juu ya makinikia moja ya mapendekezo yake ni kuweka hadharani mikataba yote ya madini ili ijadiliwe na bunge.

Naomba raisi wetu JPM ili yasijirudie Yale Yale ya watangulizi wako uweke WAZI mikataba ya mambo makubwa yanayofanywa ndani ya awamu hii

mfano;Ununuzi wa ndege zote,
Ujenzi wa reli ya mwendo kasi ( dar-moro) na mwingine mingi chini ya awamu hii ya tano!
Nadhani kama taifa tutakuwa tumefika mahala pazuri pa uwazi na ukweli!
Vile vile itawasaidia hata awamu zijazo baada yako kupiga mfano huu mzuri utakua uanza!

Kuliko kusikitika kama tumeibiwa sana ilhali tu naendelea kufanya Yale Yale yaliyotufanya tunaibiwa!
Wazo zuri sana,kama anayofanya sio kutafuta kiki atekeleze ushauri wako.
 
Ila jana si kasema tume ya sheria iunde sheria na kwamba mikataba yote ipitiwe ipelekwe mbungeni hata ya gas,basi nami ombi langu Rais isiwe madini tu bali mikataba yote yenye kuhusu rasilimali za Tanzania,m
kataba mmoja baada ya mwingine upitiwe tu,hata kama ni makaburi ya mwaka arobaini na saba wacha tuyafufue tu. Umeamua kuwa msafi kuwa msafi kweli kweli,Mungu hapendi vuguvugu anataka ukiwa moto uwe moto kweli,na ukiwa baridi kuwa baridi kweli tena ugande haswaaaa!!! . Vuguvugu anasema nitakutapika!! Hope hutapendwa kutapikwa na Mungu,tunakuombea uamue moja tu.!!
Swali je! Atatoa yake ya ndege na ujenzi wa uwanja wa chato na sehemu nyingine??
 
Lakini wewe umewahi kufikiri ni wapi tulipojikwaa mpaka tunapigwa na wawekezaji kiasi hiki?!

Muundo wa utawala wetu ni tatizo na 1. Katiba yetu kufanya Rais mungumtu ni tatizo kubwa zaidi. Angalia kama sasa tunakimbizana na mawaziri na wanasheria wakuu wa wakati huo huku Mkapa na Kikwete wakiwa wanakula bata!!!

Kaibadilishe.

Kulalamika kunasaidia nini, Rais wa sasa ameanza watu bado midomo.. kwa sababu wananchi wengi ni kulalamika ndio kama chakula chao bila kichwa wala miguu. Nawe mmoja wao
 
Acha umbea we mwanamke! Hapa tunazungumzia masuala ya kitaifa sio tunamzungumzia huyo unayesema tunapenda!
Ili nia njema yake isiwe na shaka
Aweke mikataba wazi mbona hakuna ugumu?

Mwandikieni kuomba sio mnakaa kulalamika kila sekunde, au tuma mbunge wako akaombe huko bungeni.
 
Rais wa nchi asiongelewe unataka tukuongelee wewe?kwa lipi,kwa kuropoka ropoka kama Unakunywa viroba vya magendo.

Jiangalie ulivyo kwanza, halafu jifikirie kuwa hii pumbwa uliyoandika inakusaidiaje wewe kwa kulalamikaaaaaaaaaaaaaaa.

Naona ulikuwa unavinywa umevikumbuka hata ya chupa ya cognac huna...eeeeeeh pigika acha uvivu.

Aibu
 
Suluhisho la yote haya ni Katiba pendekezwa tu kwani japo anajitahidi kuiweka Tanzania sawa ila yale Mapendekezo yaliyomo katika Katiba pendekezwa na Jaji Mstaafu Warioba kama yakitumika yatakuwa msaada mkubwa mno Kwake Yeye kama Rais wetu na sisi Watanzania kiujumla.
Sahihi kabisaaa. Katiba ya Warioba ndo suluhu. Kama kweli ana nia njema airudishe ile katiba, period. Otherwise itakuwa ni kuuma na kupuliza
 
Jiangalie ulivyo kwanza, halafu jifikirie kuwa hii pumbwa uliyoandika inakusaidiaje wewe kwa kulalamikaaaaaaaaaaaaaaa.

Naona ulikuwa unavinywa umevikumbuka hata ya chupa ya cognac huna...eeeeeeh pigika acha uvivu.

Aibu
ACha mipasho we mwanamke hebu nenda kampikie mumeo futari huko
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom