Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Waafrika wengi wanaamini kabisa uongo unasosemwa na kusambazwa na Wazungu kwamba Raisi wao hana power na kwamba kila kitu kinaamuliwa na Bunge lao, kama hivyo ni kweli ni kwa nini wanatumia nguvu nyingi sana kumuwekea D.Trump gavana? Kuanzia Hollywood mpaka watu wa intelligence wote wanahaha kumshawishi Trump asifanye kwa mujibu wa matakwa yake!
Waafrika tutakuja kuanza kuendelea tu siku tukiacha kuamini Wazungu kwa maana wanachotuambia sicho wakifanyacho kwao, matokeo yake tunawaiga bila ya kuilewa vizuri mfumo yao, tunatengeneza Katiba kama Kenya na kuondoa madaraka ya Raisi tukifikiri kwamba USA ndiyo iko hivyo USA, kumbe hatujui Raisi wa USA ana power kubwa sana tu, na ndiyo maana sasa hivi wanahaha huku na kule kumshawishi Trump awe dhidi ya Urusi, ni kwa nini basi wasitumie tu Bunge kumpinga kama kweli hana power kama tunavyoaminishwa?