Hawana mkuu lakini licha ya kukosa shirika lenye ndege, je imeshindikana ku afford private jet kwa ajili ya kumbeba Raisi tu?Inaweza kuwa ni rahisi sana kupanda commercial flights badala ya kuungurumisha private jet yake kutoka huko kwake mpaka hapa.
Nadhani swali lako lingekuwa hivi Uganda hawana bombedier zao mpaka apande Kenya airways?
Nakumbuka jamaa M7 huwa na kitu chake, labda kaamua kuwaunga mkono/ changia jamaa zake wa Afrika MasharikiHawana mkuu lakini licha ya kukosa shirika lenye ndege, je imeshindikana ku afford private jet kwa ajili ya kumbeba Raisi tu?
anabana matumiziHii imekaaje kiusalama wakuu, Raisi ni taasisi kubwa sana yenye mamlaka katika Taifa sasa Mheshimiwa Yowel museven inakuwaje unakosa private jet na kutumia Mashirika ya Nchi tofauti na yako kukusafirisha? Hii imekaaje wana Jamvi?
Hii imekaaje kiusalama wakuu, Raisi ni taasisi kubwa sana yenye mamlaka katika Taifa sasa Mheshimiwa Yowel museven inakuwaje unakosa private jet na kutumia Mashirika ya Nchi tofauti na yako kukusafirisha? Hii imekaaje wana Jamvi?
Wale tusifikishane hukoSisi wakenya tutakuona mchonganishi wewe
Aaagh! Usimshushue mwenzio muelimishe tu, kwamba huo ni utaratibu anaoutumia M7 mara kwa mara na viongozi wengi wa vinchi vyetu hivi wanaomiliki vindege vyenye masafa mafupi mara nyingi hutumia ndege za abiria kila wanaposafiri mbali na hakuna sheria inayowazuia kufanya hivyo!Kwani shida yako ni nini haswa? Kama Museveni kuja Bongo hajaja kukufurahisha wewe wala hakutegemea wewe utaenda kumpokea, shida iko wapi?
Bado tunasafari ndefu mkuuAaagh! Usimshushue mwenzio muelimishe tu, kwamba huo ni utaratibu anaoutumia M7 mara kwa mara na viongozi wengi wa vinchi vyetu hivi wanaomiliki vindege vyenye masafa mafupi mara nyingi hutumia ndege za abiria kila wanaposafiri mbali na hakuna sheria inayowazuia kufanya hivyo!