Raisi na wana DMV, USA. ila alieshindwa uraisi wa jumuiya??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi na wana DMV, USA. ila alieshindwa uraisi wa jumuiya???

Discussion in 'Jamii Photos' started by mzurimie, May 20, 2012.

 1. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,148
  Likes Received: 1,572
  Trophy Points: 280
  Nimeweka hizi picha baada ya kuona aliyeshindwa kuwa Raisi wa Jumuiya ya waTanzania wa DMV, amekimbilia kukaa pembeni mwa raisi na Raisi wa jumuiya hayupo karibu naye.

  Sasa hii nafasi ni kwa nini huyu dada ameikimbilia ni humu mtandaoni niliona alishindwa? na viongozi wengine wa jumuiya kwa nini hawakukaa karibu?

  Dada ungemwachia raisi wenu wa DMV akae hapo aongee na Mzee wa nchi yetu.

  picha kutoka global publisher.

  usa1.jpg

  usa2.jpg
   
 2. Sunday Ngakama

  Sunday Ngakama Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kusaidiwa jamani, hivi DMV ndio nini?
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 10,481
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  hata mimi nataka kufahamu.kwa jinsi ninavyoona hii thread inafahamika zaidi kwa alieileta.
   
 4. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Department of Motor Vehicle....sisi wamatumbi haituusu.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ushauri kwa wanaoleta habari za DMV [DC/Maryland/Virginia hapa.... somehow mnakua mnajidhalilisha kwa kufikiri kila mtu anajua DMV ni nini au kila mwana JF basi anajua ayanoyoteka huko... asubihu mlileta tangazo la kubadili tarehe ya mkutano wa CHADEMA DMV sasa mnaleta habari kimini kama nguo iso na heshima

  Kwakweli kwa namna fulani mnabehave below expectations.... uswahilini kwetu DMV yaweza kuwa chochote kile hata matusi

  HEBU KUWENI KAMA MNA UPEO KIDOGO TU WA KUWEKA HABARI IN A MATURE MANNER
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,507
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  DADA MUUZA VITU (DMV) au??
   
 7. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Dont Mess with Vigina = DMV
   
Loading...