Raisi na mshauri wake

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu waheshimiwa wote,kuna kitu kidogo kinanitatiza na tumefundishwa ya kwamba asiyejua amuulize anayejua,mimi nilikuwa nataka kujua,
1.Hivi Raisi ni katika suala gani anamuhitaji mshauri wake na je huyu mshauri ana haki ya kupewa ulinzi kama wanavyolindwa mawaziri?

2.Na je Raisi ana idadi ya watu wangapi wanaomzunguka kikazi?
3.Je?mabodyguard wake ni usalama wa Taifa au ni Wanajeshi na ni wangapi.
4.Je?familia yake ina haki ya kutumia dola kisheria(namaanisha inaweza kutoa order kwa matakwa yao na ikatekelezwa)
In short nilikuwa naomba msaada wowote kuhusu Raisi na muongozo wa utendaji kazi wake.
Ahsanteni
 
Aaahhh maswali yako mengine hayana maana kabisa....kujua idadi...ww itakusaidia nn???uliza mambo ya maana...bwana swali 2 halina maana....
 
Kutaka kujua idadi kutanisaidia sana Mh,sababu nataka kutunga mchezo sasa niko ktk research ili kujua ni wa2 wangapi wanahitajika ili niweze kufanikisha hilo,ila naomba samahani kwakuliona suala hili ni la kipumbavu
 
Back
Top Bottom