YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Kupata permanent residence Marekani unatikwa kununua municipal bonds za dola kadhaa.
Serikali itoe uraia wa nchi mbili kwa yeyote atakayenunua long-term bond za serikali za dola milioni moja wapewe uraia haraka akishalipa tu tuchangamkie fursa.
Tanzania wazungu mamilionea wanakimbia corona kwao wanakuja.
Watanzania maskini diaspora wasubiri dual citizenship ianze na mamilionea kwanza wa nchi zingine wanunua bond za serikali long-term
Serikali ipeleke bungeni under urgency haraka kubadili sheria za uraia kuruhusu manilionea kupata uraia haraka kipindi hili cha corona akilipa tu apewe uraia.