Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Kuna jamaa m1 hv jogoo wake alikuwa hasimamì akaamua kwenda mganga.,bac baada ya kumuelezea shda zake mganga..mganga akaamua kumpa CD akamwambia chukua hii CD Ukaiskze,.bac yule jamaa akaenda kwake na kuiskilza ile CD akakuta n wmbo wa taifa..yule jamaa akashangaa akarud kwa mganga na hasira kbao
JAMAA;unaniona mm mjnga eeh nrudshie ela yangu(kwa ukari)
MGANGA; Heee km ndo hvyoo nmekushda..wmbo huu ukpgwa raisi mwnyewe anasimamaa!!!
JAMAA;unaniona mm mjnga eeh nrudshie ela yangu(kwa ukari)
MGANGA; Heee km ndo hvyoo nmekushda..wmbo huu ukpgwa raisi mwnyewe anasimamaa!!!