Raisì mwenyewe anasimama,.kama yako haisimami mimi nimeshndwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisì mwenyewe anasimama,.kama yako haisimami mimi nimeshndwa!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Greater thinker, Sep 18, 2011.

 1. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kuna jamaa m1 hv jogoo wake alikuwa hasimamì akaamua kwenda mganga.,bac baada ya kumuelezea shda zake mganga..mganga akaamua kumpa CD akamwambia chukua hii CD Ukaiskze,.bac yule jamaa akaenda kwake na kuiskilza ile CD akakuta n wmbo wa taifa..yule jamaa akashangaa akarud kwa mganga na hasira kbao
  JAMAA;unaniona mm mjnga eeh nrudshie ela yangu(kwa ukari)
  MGANGA; Heee km ndo hvyoo nmekushda..wmbo huu ukpgwa raisi mwnyewe anasimamaa!!!
   
 2. M

  Museven JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  nosense!
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kisa hata hakieleweki
   
 4. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  haha nimeipata mkuu
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  sema sielewi, mbona mi nimempata
   
Loading...