Raisi Mtarajiwa Dr. Slaa kutomtupa mkono Prof. Lipumba wa CUF

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Pamoja na matarajio yetu kuwa Prof. Lipumba umaana wake kwenye siasa za humu ndani unaelekea ukingoni lakini kwa vile CUF itafanya vizuri na kuongeza viti vya ubunge na hakuna chama kitakachokuwa na wabunge wengi Dr. Slaa atamvuta shati Prof. Lipumba na kumpa wadhifa wa Mshauri wa Siasa na Uchumi Ikulu kazi ambayo hata hivyo profesa ana uzoefu nayo tangia siku za Bw. Mwinyi alipokuwa ni Raisi.

Kwa kufanya hivyo CUF na Chadema wataingia makubaliano ya kuunda serikali ya umoja chini ya kaka yetu mpendwa Dr. Slaa.

CCM nao hawatatupwa kwani dada yetu mpendwa Prof. Anna Tibaijuka atakuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi yetu.

Hili kidogo linashangaza kwa sababu CCM na ngebe zote za kuwajali na kuwaenzi wanawake za miaka takribani 50 zilikuwa ni changa la machoni ili kunasa kura za akina mama kwani hata uwaziri mkuu CCM imekuwa ikiwawekea ngumu akina mama!!!!!!!!!!!!

Huu utakuwa mwanzo wa ukombozi wa nchi yetu........

MUNGU IBARIKI TANZANIA .........MUNGU IBARIKI AFRIKA..................
 
labda lipumba ndio amfanye slaa kuwa waziri wa makanisa na madhehebu ya kikristo kwani PHD yake ni ya madhabahu!
 
,
Tanzania kuna wizara ya makanisa na madhehebu ya kikristo?.....Ni vizuri uwe na uelewa wa kitu kilichoandikwa ndiyo uweke comment...Tanzania kabla ya utumwa na ukoloni, wengi wao walikuwa hawana dini. Naona wewe ni mtu usiyeelewa vizuri neno la Mungu. Nakuomba upate kuhudhuria mafundisho ya neno la Mungu ili upate HEKIMA na UFAHAMU na siyo kuchochea chuki.
 
Ndiyo maana wenye PhD za kupewa kama Msaada, hawawezi kuishi bila kuendelea kuomba misaada kwa nchi zao.

Kumbe ndiyo hii imewapofusha na kuwafanya muanze kuona dunia ni Black or White Only.

Poleni sana sana. Hivi Prof. Sarungi kuwa Waziri wa Ulinzi, mlifikiria nini? Jamaa si Dr wa mifupa ?

labda lipumba ndio amfanye slaa kuwa waziri wa makanisa na madhehebu ya kikristo kwani PHD yake ni ya madhabahu!
 
labda lipumba ndio amfanye slaa kuwa waziri wa makanisa na madhehebu ya kikristo kwani PHD yake ni ya madhabahu!

Ukisikia matapishi ya nguruwe ndio haya. Umewahi kuona nani akifaidika na udini duniani.

Acha kudandia mada za watu na kujaza matapishi ya swine.

Unanuka!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom