Raisi mtarajiwa Dr. Slaa Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi mtarajiwa Dr. Slaa Dodoma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by analysti, Sep 1, 2010.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  ljgdddddddddd, kvghvhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 2. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Ninahitaji kujua ratiba ya Campeni za Dr. Slaa. Nafikiri ni vizuri tuipate mapema ili tuweze kupanga mambo yetu ili tusijekosa kumsikiliza. Ni matumaini yangu kuwa kupitia hapa tutapata ratiba hio mapema sana.
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hii hapa
   
 5. M

  Msuruhishi Member

  #5
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Ahsante kwa ratiba hiyo. Baada ya kuipitia nmegundua kuwa kuna gaps kubwa sana. Ni muhimu kutambua kuwa wananchi wa mijini tayari wanaelewa maana ya upinzani na hivyo wako tayari kupigia kura chaguo la CHADEMA. Kazi kubwa iko vijijini ambako watu wanadhani wakijihusisha na upinzani wanatenda dhambi ya mauti. Wanaamini pia kuwa 'big brother' CCM anawaona na atawaadhibu wakithubutu kuchagua upinzani. Huko ndiko upinzani unatakiwa kutumia nguvu ya ziada. Huko ndiko wapiga kura wengi waliko. Katika baadhi ya mikoa, kuna wilaya zimeachwa kabisa. Kwa njia hii ushindi tunauweka mashakani. It is not too late to make changes to the programme, I hope.
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani ni tofauti, angalau wao wana muda kuhudhuria mikutano ya kampeni. Mfano Dr Slaa atafanya mkutano Dodom saa 9 mchana, unafikiri wafanyakazi wengi ambao muda wa kazi unaishia saa 11 jioni watahudhuria? Vijiji upinzani wanaujua ila kwa wale waliowahi kuchagua upinzani mfano Moshi Vijijini Serikali iliwatelekeza wakazidi kuwa maskini hivyo hawaoni tena faida ya kuongozwa na Mbunge wa upinzani.
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
 8. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  asante kwa ratiba
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hebu tuwekeeni ratiba ya CCM na CUF kwa wale ambao wanazo. Asante.
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Asante kwa ratiba mkuu ili wakija maeneo niliko niweze kuhudhuria.
  That day mwajili atanisamehe
   
Loading...