SEAL Team 6
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 655
- 118
Raisi yoweli wa Uganda inasemekana amewasili nchini, kwa ziara ya kushitukiza. Jambo la kujiuliza inakuwaje anatia timu wakati huu ambapo Taifa liko kwenywe uchaguzi wa Ubunge na Madiwani, je wanaJF hamuoni kuwa JK anapanga stretagies za kuchelewesha kuruhusu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi Igunga ili apate mwanya wa kuchakachua??? Wanaweza wakam - evacuate KASUFU na msimamizi wa uchaguzi kwenda nchini Uganda kwa muda. CDM kaeni makini, hadi kieleweke.