Raisi Mseveni katinga Ikulu Magogoni wakati Tunauchaguzi Mbunge na Madiwani.

SEAL Team 6

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
655
118
Raisi yoweli wa Uganda inasemekana amewasili nchini, kwa ziara ya kushitukiza. Jambo la kujiuliza inakuwaje anatia timu wakati huu ambapo Taifa liko kwenywe uchaguzi wa Ubunge na Madiwani, je wanaJF hamuoni kuwa JK anapanga stretagies za kuchelewesha kuruhusu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi Igunga ili apate mwanya wa kuchakachua??? Wanaweza wakam - evacuate KASUFU na msimamizi wa uchaguzi kwenda nchini Uganda kwa muda. CDM kaeni makini, hadi kieleweke.
 
Nitashangaa kama mpaka sasa hivi hujajisalimisha kwa mtaalamu wa magonjwa ya akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom