Raisi mmoja wa Africa atakufa hivi karibuni - TB Joshu

Hakika T.B JOSHUA ni NABII WA UKWELI. Tumsubiri Lowassa?

naamini sasa laigwanan atakuwa raisi wa tano wa Tanzania


Wakuu hakuna mahali TB Joshua alimtabiria Lowasa kuwa atakuwa rais. Hayo yalikuwa maneno tu ya Beatrice Shelukindo alopokuwa akimpigia chapuo Lowasa kupata uenyekiti wa kamati ya Bunge ya ulinzi na usalama. Watu walioona ibada amabyo Lowaa alikuwa huko hakutabiriwa hivyo.
 
Back
Top Bottom