Raisi mmoja wa Africa atakufa hivi karibuni - TB Joshu

Robert hawezi kuumaliza mwaka huu 2012, kujua hilo haihitaji elimu ya unajimu au kuwa na nguvu za giza!
 
Ingekua bora angedondoka huyu baba R1. Tumechoka kwa kweli. Afu sijui huko afterlife kuna kupuyanga kama anavyofanya huku duniani?
 
Unaishi karne gani wewe? Mwenye uwezo wakujua nani atakufa ni mungu pekee,huyo hana lolote,kweli wajinga ndio waliwao!FF

Kwani wewe unaishi karne gani? Ubishi tu kila jambo..Kama huamini hili si ubakie na imani yako?kwani lazima ulazimishe watu waamni unachoamini wewe?whats so special na karne hii ya leo?wewe ndo mwanadamu na zamani walikuwa mawe?Tuliza ball na tuache wenye imani zetu..kama unaogopa kufa ndo ulie tu..UTAKUFA TU siku moja utake usitake...hakuna atakaeishi milele..
 
kwa mara ya kwanza dada FF nakuunga mkono, wakristo wengi tunapumbazwa na hawa mitume feki wa kizazi hiki.

Sure hawa mitume fake wamezidi na wanapata wafuasi wengi wakristo tumepumbazwa nao kumbe wao wako katika mission kama wanasiasa
 
Tumesikia utabiri kama huu sio mara ya kwanza kuusikia...je alietabiri mwisho wa dunia mbona haikutokea badala yake akasogeza muda kwamba alikosea, Je huyu nae siku 60 zikipita atasogeza muda kwamba alikosea kuhesabu/tabiri?
 
jaman me naomba kuuliza,kwani utabiri ni uchawi?au wanaotabiri wanakuwa wachawi?
 
Mugabe atapeta tu, anakula nyama za watu hahahaha kama stori za Idd Amin zamani. utabiri wa namna hii unaweza hata ukawa unaua watu, ukiona siku sitini zinakaribia hakuna dalili unamshughulikia mtu hili maisha yako yaendelee, kama mzee Yahaya tu, usalama wenzie walikuwa wanamwambia wana mipango gani yeye anajifanya kutabiri.
 
Mtumishi wa Mungu kasema na yafaa tusubiri tuone ila viongozi wetu wamrudie Mungu.
 
ni nani huyo? (wengine wameshaanza kumtaja mugabe!)

mchungaji wa kinaigeria tb joshua atabiri kuna kiongozi wa africa atakayefariki katika siku sitini zijazo!

by wonai masvingise and thelma chikwanha
harare – reports that temitope balogun joshua, a nigerian prophet using the name tb joshua, has foretold the death of an african president soon have raised debate in many african countries including zimbabwe where ageing presidents are still in power.
tb-joshua.jpeg

temitope balogun joshua


tb joshua, whose prophecies have often come to pass, reportedly made the shocking prophecy during a sunday service this week, according to several online reports.

A zambian website tumfweko.com claimed that tb joshua prophesied this message during a sunday live service broadcast on his christian television channel emmanuel tv on sunday, which they monitored.

A malawian website nyasatimes.com also carried the story yesterday. Tb joshua is the leader of the synagogue church of all nations (scoan), based in nigeria.

Joshua, who commands a large following in nigeria and beyond, said an african leader would die within 60 days. He failed to hint on the location of the leader, leaving wild guesses to fly around.

"god loves us, you should pray for one african head of state, when i say president… again the sickness that is likely to take life; sudden death, it could be sickness being in the body for a long time but god showed me the country and the place but i'm not here to say anything like that."

"when it's too close and there is nothing i can do about it, i'll mention it clear; the place, the country and the person so that they can see what they can do to rescue him. Okay, it is very close. Jesus loves us. Wave your hand, wave your hand," tb joshua was quoted as saying by the online publications.


sleeping on the job: Robert mugabe

his prophecy immediately attracted the attention of zimbabweans who began posting their own conclusions on social networking sites such as facebook.

Zanu pf spokesperson rugare gumbo, whose leader president robert mugabe was the subject of unsavoury facebook postings following the "prophesy", refused to comment.


malizia kusoma hapa!

tatizp lao ni kwamba wanatabiri then wana roga ili kutimiza utabiri wao
 
Back
Top Bottom