Raisi mmoja wa Africa atakufa hivi karibuni - TB Joshu

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Ni nani huyo? (wengine wameshaanza kumtaja Mugabe!)

Mchungaji wa kinaigeria TB Joshua atabiri kuna kiongozi wa Africa atakayefariki katika siku sitini zijazo!

By Wonai Masvingise and Thelma Chikwanha
HARARE – Reports that Temitope Balogun Joshua, a Nigerian prophet using the name TB Joshua, has foretold the death of an African president soon have raised debate in many African countries including Zimbabwe where ageing presidents are still in power.
tb-joshua.jpeg

Temitope Balogun Joshua


TB Joshua, whose prophecies have often come to pass, reportedly made the shocking prophecy during a Sunday service this week, according to several online reports.

A Zambian website Tumfweko.com claimed that TB Joshua prophesied this message during a Sunday live service broadcast on his Christian television channel Emmanuel TV on Sunday, which they monitored.

A Malawian website Nyasatimes.com also carried the story yesterday. TB Joshua is the leader of the Synagogue Church of All Nations (Scoan), based in Nigeria.

Joshua, who commands a large following in Nigeria and beyond, said an African leader would die within 60 days. He failed to hint on the location of the leader, leaving wild guesses to fly around.

"God loves us, you should pray for one African head of state, when I say President… again the sickness that is likely to take life; sudden death, it could be sickness being in the body for a long time but God showed me the country and the place but I'm not here to say anything like that."

"When it's too close and there is nothing I can do about it, I'll mention it clear; the place, the country and the person so that they can see what they can do to rescue him. Okay, it is very close. Jesus loves us. Wave your hand, wave your hand," TB Joshua was quoted as saying by the online publications.


Sleeping on the Job: Robert Mugabe

His prophecy immediately attracted the attention of Zimbabweans who began posting their own conclusions on social networking sites such as Facebook.

Zanu PF spokesperson Rugare Gumbo, whose leader President Robert Mugabe was the subject of unsavoury facebook postings following the "prophesy", refused to comment.


Malizia kusoma hapa!
 
Hii ndio njia moja ya mapastor hutumia kujipatia umaarufu internationally. huyu na archbishop Gilbert Deya fall in the same category
 
kama kweli basi awe baba nanilihi huyu aaaah baba R ili 2pumzike jaman khaaaa
 
kila mtu anajua mugabe mgonjwa

na zaidi Mandela pia ni mgonjwa.....

vitu vingine havihitaji utabiri.....

ni masifa tu.....

Haraka za nini? Kwani Mandela ni Rais wa wapi? Ugonjwa wa Mugabe uliusikia wapi na kwa nani? Pengine kuna Marais wengi wagonjwa lakini huwajui. Yule wa Guinea Bissau aliyekufa hivi karibuni ulijua yu mgonjwa?
Tusiwe na haraka siku 60 si nyingi, zinaisha karibuni.
 
Mbeya: Mchungaji awafanyia wanawake maombi kwa kuwashika matiti08/02/2012
3 Comments


[COLOR=#333333 !important][FONT="Times New Roman" !important]
Mchungaji Geofrey Joram wa Kanisa la Restoration Bible Church (RBC) lililopo Inyala jijini Mbeya amekutwa "akiwanga" katika nyumba ya Bwana Amanyisye Fungo ambaye anaishi jirani na kanisa hilo.

Tukio hilo lililotokea majira ya saa kumi na mbili asubuhi Februari 8, mwaka huu kwa Mchungaji huyo akiwa na baadhi ya waumi wake ambao idadi yake haikuweza kufahamika, alikutwa akiwa ameshika chupa iliyodaiwa kuwa na dawa ya kienyeji na kuinyunyiza mlangoni na chumba ambacho analala Bwana Amanyisye.

Mchungaji huyo alifumwa na watoto wa Bwana Amanyisye ambao wamefahamika kwa jina la Baraka Amanyisye (18), mwanafunzi wa kidato cha tatu na Eliud Amanyisye (19) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Lupeta ambao walikuwa wakielekea shuleni kwao.

Watoto hao walipomhoji Mchungaji ni kwanini anatenda hayo, Mchungaji alikuja juu na kupiga kelele hali iliyompelekea baba wa watoto hao Amanyisye kuamka ili kujua nini kilichotokea, ndipo alipowakuta waumini na mchungaji huyo akiwa na chupa mkononi, ambapo walipelekwa moja kwa moja kwa balozi wa mtaa huo, Frenk Mwambagi.

Balozi huyo wa mtaa Bwana Mwambagi alipomuuliza mtuhumiwa huyo kulikoni, mchungaji alishindwa kujibu na ndipo balozi huyo alipoamua kwenda kwa Mwenyekiti wa Mtaa Bwana Nelson Mahena na mtendaji wa mtaa Bi Christina Atakwani kutoa taarifa. Viongozi hao walipeleka taarifa zao Kituo cha Polisi cha Iyunga jijini Mbeya.

Baada ya taarifa hizo kutolewa Polisi, Mchungaji huyo alikimbilia kusikojulikana na waumini wake kutawanyika.

Zaidi ya mtuhumiwa kulalamiiwa mara kwa mara kuhusu imani za kishirikina, pia amekuwa akiwashika wanawake sehemu za siri na matiti wakati akiwafanyia maombezi.

Taarifa za uchafu huo zilipelekwa katika uongozi wa mtaa na kumuonya zaidi ya mara tatu lakini alikaidi. Kikao cha mwisho cha onyo kilifanyika Februari 2, mwaka huu mbele ya Askofu wake Mkuu Emmanuel Tumwidike, ambapo mchungaji huyo alikiri na kuahidi kumhamisha kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni kukiuka maadili ya Kanisa hilo.

Wakati Askofu Tumwidike akifanya jitihada za kumhamisha, ndipo mchungaji huyo alipokutwa katika tukio hilo. Askofu aliahidi kulishughulikia leo wakati Uongozi wa Serikali katika mtaa huo unachukua hatua za kisheria.

Mpaka habari hii inaandikwa mchungaji huyo hajaweza kupatikana licha ya wananchi kufanya msako mkali.
[/FONT][/COLOR]



 
Bora afe huyu wa hapa nchini,ili atuachie nchi yetu hata kama kaisababisha kuwa maskini.
 
kila mtu anajua mugabe mgonjwa

na zaidi Mandela pia ni mgonjwa.....

vitu vingine havihitaji utabiri.....

ni masifa tu.....

Jamaa ana kipaji cha kutabiri. Suala la kusema ni suala la muda tu si sahihi, wagonjwa wangapi wanakuwa mahututi kwa makisio yetu tunasema hawatamaliza mwaka na wanamaliza na kubounce back katika uzima kabisa? Maana yake ni kwamba sio kila mmoja ana uwezo wa kutabiri. So kama ametabiri si kuwa ni kwa sababu tu ya ugonjwa wa huyo raisi mtabiriwa bali kwa sababu ya maono. Na kumbuka kuwa kaweka concrete and plausible time frame "within 60 days" na sio vague kuwa "hivi karibuni"
 
Back
Top Bottom