Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
Fortunately naijua Kigoma,katika kampeni za uchaguzi 2010 Kikwete aliahidi kuifanya Kidoma kuwa kama Dubai dada labda huijui Kigoma.Kigoma sio mjini tu tembelea Kibondo,Kasulu na kwingineko kweli Kikwete kafanya maajabu.Kigoma baada ya kuwachwa nyuma kimaendeleo na awamu zote, leo hii kwa muda mfupi tu wa Kikwete tunaona mabarabara ya lami yakiunganisha huko na mikoa mingine ya jirani..
Huijui Kigoma dada Faiza,kwa kifupi hakuna umeme wa uhakika Kigoma.MFANO KASULU wanatumia generator tena za watu,kwa kifupi hakuna umeme hata Kibondo sasa wewe Unasema Kigoma ipi kuna umeme?Leo hii tunaona umeme Kigoma ambao ulisahauliwa miaka yote, tena ikiwa wewe unalia na mgao, Kigoma wanaumeme wao pekee
Dada faizah,awamu ya kwanza Ya mwalimu tulizalisha MW 60 ambazo zilikuwa excess kwa wakati ule,tatizo la umeme limeanza wakati hasa wa awamu ya pili tena kiindi hicho Kikwete akiwa Waziri wa Nishati.Mikataba unayosemea ndio hii ya RICHIMOND? ina maana hujui ufisadi uliopo kwenye mikataba hii? pekue thread.Kuhusu mgao wa umeme unaoendelea sasa ni mtiririko wa umeme mdogo ulioachwa na awamu zilizopita. Ukitazama wakati wa Kikwete ni mikataba mingapi iliyowekwa ya kutafuta ufumbuzi wa hili tatizo kwa muda mrefu iutakuta ni wakati huu wa Kikwete ndio anasaini mikataba ya uhakika ya muda mrefu. Hutegemei umeme mkubwa ukasaini mkataba leo ukapata umeme kesho. Isitoshe, umeme mdogo wa muda mfupi ni tatizo la uzembe wa Tanesco.
Uzembe wa TANESCO? ina maana raisi wetu anashindwa kuwawajibisha TANESCO kwanini? ni wazembe so what next?
Hatutaki hadithi tunahitaji umeme dada Faiza hiyo symbian tangu imekuja kuna mabadiliko gani? dada yangu usijiweke upofu kwa hilimajenereta tunayo ya kutosha, IPTL, SYMBIAN (dowans), AGREKKO, ARTUMAS yote hiyo na mengine mipya imekuja wiki iliopita na mengine inakuja kabala yakumalizka August. Hayo pekee yanatosha kukuonesha kuwa Kikwete anafanya kazi ya maana sana. Huna hoja katika haya.