Raisi Magufuli kufungua barabara ya Bagamoyo msata Alhamisi tar 22/6

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,499
9,279
ras.jpeg
 
Inafunguliwa mara ngapi??Kama hakuna cha kufungua BORA kukaa IKULU asubirie repoprt toka kwa wakuu wa wilaya na mikoa ni wapinzani wangapi wamepelekwa mahabusu bila sababu za msingi.

Anatumia kodi zetu vibaya
 
Mbona Mh anafungua miradi ya laki 9..?

Lini atazindua mradi wa kiwanda tena?
 
Leo si alikuwa huko pwani alipitaje kama hajafungua hiyo barabara? Au kwa nini asifungue ndio apite kufungua hivyo viwanda?! Ameanza kukosa ya kufanya eee? maana anapenda attention ya watu kama mtoto anaeanza kusimama, .
 
Wenyeji wa kaskazini mpite huku sasa mje muwaondolee giza hao jamaa , maana kama hawazioni fursa zao haikosi kuna giza huko,
 
Back
Top Bottom