Raisi Magufuli avunja rekodi. Awafunika watangulizi wake wote ndani ya muda mfupi!

Kumbe unafahamu halafu unajifanya hujui? Kama shilingi itakuwa imepanda dhidi ya dola basi hongera zake.

Kama imeshuka dhidi ya dola, unadhani uchumi unapaa au unaporomoka?
Sasa wewe kama mwaka 1985 kwa mshahara wa sh 1500 niliweza kununua mahitaji yangu yote ya mwezi na chenji ikabaki lkn leo unalipwa 600,000 haikufikishi hata katikati ya mwezi, kati ya hao wawili nani analipa mshahara mdogo ?
 
Hapo utambue kuwa thamani ya sarafu ya nchi yako IMEPOROMOKA.

Nakwendaaaa ZIMBABWEEEÉEE
 
Back
Top Bottom