Sasa wewe kama mwaka 1985 kwa mshahara wa sh 1500 niliweza kununua mahitaji yangu yote ya mwezi na chenji ikabaki lkn leo unalipwa 600,000 haikufikishi hata katikati ya mwezi, kati ya hao wawili nani analipa mshahara mdogo ?Kumbe unafahamu halafu unajifanya hujui? Kama shilingi itakuwa imepanda dhidi ya dola basi hongera zake.
Kama imeshuka dhidi ya dola, unadhani uchumi unapaa au unaporomoka?
Umenena vyema.Wakati wa Kikwete kulikuwa na raha sana ya kuishi Tanzania.
Awamu hii ya tano unga wa mahindi umefikia kilo shillingi 800 na Magufuli alipoingia ulikuwa 1400. Ni hatua kubwa sana. Sema vyuma vimekaza.
Sasa wewe kama mwaka 1985 kwa mshahara wa sh 1500 niliweza kununua mahitaji yangu yote ya mwezi na chenji ikabaki lkn leo unalipwa 600,000 haikufikishi hata katikati ya mwezi, kati ya hao wawili nani analipa mshahara mdogo ?