Raisi Magufuli aahidi kushusha kodi

lopinavir

Senior Member
Jul 11, 2015
186
121
Katika sikukuu ya Mei mosi raisi ameahidi kushusha kodi ya wafanyakazi kutoka 11% hadi 9% ,hii ni hatua nzuri na habari njema kwa wafanyakazi...
 
Watumishi wa Umma wanamkumbuka sana Jakaya. Nilikuwa naitazama inapita kwenye Maandamano pale Uwanja wa Jamhuri Dodoma, Yote imevimbiana kwa kula kula bila ya mpangilio wala Mazoezi, Mijanaume na mijanajike yao yote yana mitumbo mikubwaaaa! Mizembe zembe fulani hivi.
 
Tufafanuliwe hapo sasa kafanya nini. ....kama ni hao wanaopokea chini 360,000...basi hamna lolote alilofanya
 
Kwa hiyo kama mtu ulikuwa una mshahara wa laki 5 utasevu elfu kumi. Mbona sion kama kuna nafuu.
 
Yaani unafuu atakaopata mwananchi ni shilingi 3600 tu kwa mwezi kwa punguzo hilo. Hamna tofauti ya kimsingi na punguzo la 1900 kila mwaka wakati wa JK. Wafanya kazi bado wana safari ndefu kupata unafuu wa kodi nchi hii.
 
Back
Top Bottom