Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu.

Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo kwenye Safari za majaribio kabla ya kuanza kutoa huduma Rasmi.

Tunatekeleza
 
Kwa akili zako za kisoda unaziona hizo ndege kama zimenunuliwa na pesa kutoka mifukoni mwa wana ccm
Majuzi juzi nimemuona kiongozi wa upinzani roho safi akijipandia atcl hapo airport, nikajua kumbe ni kuwaingiza chaka wajinga wale wa ufipa kwa maneno ya mdomoni.
Sasa kuna type ya kina mleta uzi waaolisbwa kinyesi kibichi tena cha binadamu.
FB_IMG_1575349995632.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu Kuna wendawazimu weka habari kamili umesahau haka kakipengele "itakuwa ktk majaribio"
 
Majuzi juzi nimemuona kiongozi wa upinzani roho safi akijipandia atcl hapo airport, nikajua kumbe ni kuwaingiza chaka wajinga wale wa ufipa kwa maneno ya mdomoni.
Sasa kuna type ya kina mleta uzi waaolisbwa kinyesi kibichi tena cha binadamu.

Huyo kiongozi wa upinzani alipanda bure? Kabla ya hizo ndege alikuwa hapandi ndege zilizopo?
 
Majuzi juzi nimemuona kiongozi wa upinzani roho safi akijipandia atcl hapo airport, nikajua kumbe ni kuwaingiza chaka wajinga wale wa ufipa kwa maneno ya mdomoni.
Sasa kuna type ya kina mleta uzi waaolisbwa kinyesi kibichi tena cha binadamu.
Acha Ujinga, alitoa Pesa na angepanda ndege yoyote ili kuendana na mda wake
 
Back
Top Bottom