Raisi Kikwete kupangua baraza la mawaziri hivi karibuni

Hakuna mabadiliko yoyote,
JK haendeshwi na mitandao ya kijamii! tena msimuudhi maana mling'ang'ania KATIBA mpya bila kujipanga aliwaambia haya nimekubali mmebaki na aibu, na kamanda ndio ameshika mpini sasa
Jazba hazisaidii!
 
where do you come from man,mbona una haraka wewe..alafu it show how ur hopeles'n politics
 
Nalo hilo neno! Dc wa kibondo anakaimu kasulu.kwa kuwa kasulu anapata posho basi siku zote yuko kasulu labda siku moja kwa mwezi akuwa Kibondo

na kuna sehemu dc anakaimu wilaya mbili. mfano rugimbana ni dc kinondoni na ni kaimu dc ilala na temeke
 
na kuna sehemu dc anakaimu wilaya mbili. mfano rugimbana ni dc kinondoni na ni kaimu dc ilala na temeke
Ilala na Temeke hazina wakuu wa wilaya! Akisafiri Mkuu wa Mkoa Rugimbana ana act ukuu wote wa wilaya na ukuu wa mkoa!
 
Anasubiri mei 2, hukumu ya mahanga
Mkuu hiii pia ni determing factor. Kwa jinsi kesi inavyoenda naona kama vile Mahanga anapoteza hivyo haitakuwa na maana kufanya mabadiliko kabla ya yarehe mbili na kisha akalazimiwa kufanya badiliko lingine kuanzia.tarehe tatu!
 
Back
Top Bottom