Raisi Kikwete kupangua baraza la mawaziri hivi karibuni

U p_m angempa mwanri jampo mi sio magamba angeikongoja serikali iloshindwa kazi.INGEKUWA MI NDO LOWASSA NINGEACHANA NA NDOTO ZA URAIS.hajachoka 2 huyu mnyea nyumba za ibada?

Mkuu kusema ukweli Mwanri na Magembe ni mawaziri mahili sana.
 
Nchi walinunua kwa bei ndogo baada ya Mwalimu Nyerere kufa. Mkichoka twendeni kama Misri tukomboe nchi hii
 
Mkuu Ndinani,
Though January Makamba is affililated with pro-Lowasa, lakini ni mzuri kuliko akina Ngeleja ambao ni vivuli vya akina Rostam. Kumbuka matatizo yote haya yanasababishwa makupe wachache wanaoitafuna Tanzania mithili ya mamba aliye na njaa ya mwaka. Huyu katolewa vodacom ili aje pale wizarani kuruhusu mapanya waitafune Tanzania yetu bila soni kama wanavyoendelea kuitafuna.
Maranyingi nimemsikia January akiainisha njia mbadala za kutatua matatizo hayo lakini anaonekana anataka nafasi ya Ngeleja. Mi ningemshauri Kikwete ampe January wizara hii huenda ikawa na mabadiliko chanya kuliko kuwa na vilaza wasio na uchungu wala soni wanaporuhusu mapanya buku kuitafuna nchi hii kupitia miradi hewa ya maangamizi kwa taifa letu! Sure Kikwete wabadilishe vilaza hao
 
Karata akiicheza vibaya atazalisha CCM-C. Maana hata sasa tu tayari kuna CCM-A na B japokuwa hawawezi kuukubali ukweli huo--case study:Arumeru!
 
Mkuu Ndinani,
Though January Makamba is affililated with pro-Lowasa, lakini ni mzuri kuliko akina Ngeleja ambao ni vivuli vya akina Rostam. Kumbuka matatizo yote haya yanasababishwa makupe wachache wanaoitafuna Tanzania mithili ya mamba aliye na njaa ya mwaka. Huyu katolewa vodacom ili aje pale wizarani kuruhusu mapanya waitafune Tanzania yetu bila soni kama wanavyoendelea kuitafuna.
Maranyingi nimemsikia January akiainisha njia mbadala za kutatua matatizo hayo lakini anaonekana anataka nafasi ya Ngeleja. Mi ningemshauri Kikwete ampe January wizara hii huenda ikawa na mabadiliko chanya kuliko kuwa na vilaza wasio na uchungu wala soni wanaporuhusu mapanya buku kuitafuna nchi hii kupitia miradi hewa ya maangamizi kwa taifa letu! Sure Kikwete wabadilishe vilaza hao

Nakubaliana na wewe kuwa kuna umuhimu wa kuwatosa Ngeleja na Malima toka wizara ya Nishati na Madini, kitu nisichokubaliana na wewe ni kuwa Januaray Makamba is the best substitute!! Ukimtoa Ngeleja na kumuweka January hapo wizara hiyo as far as influence ya Rostam is concerned hujafanya kitu kwani wote hao ni vikaragosi vyake!! Kuna watu wengine zaidi ya January wanaoweza hiyo kazi tatizo lao nikuwa sio watu wa karibu na Jakaya na pia sio dini inayotakiwa kuwa kwenye wizara hiyo; utanibishia lakini ukweli ndio huo.Hii wizara ya Nishati na Madini ni nyeti sana kwa mkulu na ndio maana alimpeleka Jairo pale kwani ndio wanapopigia lala salama yao; na hivi sasa gas imepatikana nyingi ndio inacomplicate mambo ya nani mtu wao wa kwenda hiyo wizara.
 
Raisi Kikwete anatazamamiwa kupangua baraza lake la mawaziri hivi karibuni. Habari nilizozipata toka chanzo cha moja kwa moja toka ikulu ya Magogoni zinasema:katika panguapangua yake mawaziri na manaibu-waziri wengi wa Baraza lililopo sasa watahamishwa na wengi zaidi wataondolewa kwenye Baraza. Katika panguapangua hii inasema mawaziri wengi ambao ni Pro-Lowasa watatemwa kwenye hilo Baraza jipya linalotegemewa kutangazwa hivi karibuni.
ningependa kama ungesema hayo ni mwazo yako binafsi bila kuihusisha ikulu
 
Kama ni kweli atakuwa amewakuna mno Watanzania. Kama ningekuwa Raisi wa kwanza kuondolewa wangekuwa mawaziri wa wizara ya nishati ya madini wote wawili( Adam Malima na Ngeleja), hawa wamepwaya hawafai kwa kuwa wamepewa nafasi ya kujisahihisha lakini wameonyesha hawawezi, nafasi hii ampe dogo January Makamba. Then aende pale afya awaondoe Nkya na boss wake, baadaya hapo amuondoe mzee Pinda kwa kuwa hana msimamo ktk kauli zake

Nyoka ni nyoka tu.
 
Sijui tunafaidika vip na kuwepo kwa hilo baraza la mawaziri.. at least mzee wa kupiga mbizi anajitahidi wengine ni wafutiliwe mbali tu, ni mizigo kwa walipakodi
 
halafu unamfanyaje mtu kama Sitta ambaye sio pro Lowassa na sio Pro-Kikwete either.

Rais makini angemtosa Sitta, Membe na wale wote walioonesha nia ya kutaka urais ili wafanye kazi hiyo full time kwa kutumia rasilimali zao na si za serikali kama wanavyofanya sasa!
 
Kupangua baraza ni kitu kimoja na kulifanya baraza lifanye kazi waliyoapia kuzitekeleza kwa kutumia vitabu vitakatifu ni suala lingine. Tatizo siyo tu jina kuwa Makamba awe waziri. Je ata-deliver na kurudisha matarajio na matumaini ya Watanzamia yanayoonekana kupotea katika nchi yenye utajiri wa kutosheleza kubadilisha maisha ya watanzania? Nadhani kwa mtazamo wangu ni yeye mkuu wa nchi kuwawajibisha na kushughulikia wale ambao tayari ni kero na hawajui wajibu wake, bila kujali ni pro-El au pro-6 etc.

Mawaziri wnegi sasa hivi kwenye maofisi ya serikali wamekuwa waharibifu wa mifumo ya uendeshaji wa serikali, wanataka kuwa kama wao ndio accounting officers, Katibu Mkuu anayeonekana kutofautina nao wanakimbilia kwa JK kuwa huyu ananizui kutekeleza majuku, ambayo kimsingi ni maslahi binafsi. Hilo ndiyo tatizo lililopo kwa sasa.
 
Kama ni kweli atakuwa amewakuna mno Watanzania. Kama ningekuwa Raisi wa kwanza kuondolewa wangekuwa mawaziri wa wizara ya nishati ya madini wote wawili( Adam Malima na Ngeleja), hawa wamepwaya hawafai kwa kuwa wamepewa nafasi ya kujisahihisha lakini wameonyesha hawawezi, nafasi hii ampe dogo January Makamba. Then aende pale afya awaondoe Nkya na boss wake, baadaya hapo amuondoe mzee Pinda kwa kuwa hana msimamo ktk kauli zake

Hapo kwa Pinda umenikuna kaka,hakika PM wetu hana msimamo na maamuzi.Mfano mzuri ni ktk mgomo wa madaktari,suala la posho mpya za wabunge yaan ni kichefuchefu tupu.Bora mjomba atubadilishie story.
 
Back
Top Bottom