Raisi Kikwete huyooo Paris

Nimeshajua ratiba zake,anasafiri nje hata mwezi,akija ni ikulu kuonana na watu wachache then ziara mkoani moja then anapanda tena pipa,huyu jamaa akistaafu ataumwa sana,hataishi mda mrefu,msongo wa mawazo utammaliza,hawezi kutulia kama mkapa
 
Dah jamaa kaenjoy kweli
 
Jamani mbona wenzake wasafiri kama yeye???...... Hivi anafanya kazi saa ngapi sasa?? too much bwana..........
 
Mara nyingi anapovunga kwenda nje ya nchi huku nyuma huwa anaacha maagizo ya ulipuaji mabomu na mauaji. Safari hii tusubiri tena tuone.
 
hii ni kawaida kwa viongozi wa nchi maskini kama tz kushinda angani kama popo hv airforce 1 ndo ingekuwa inatumia na raic wetu?kw jinsi ilivyo na kila huduma
 
Kwa kweli safari zimezidi!

Juzi nilipoona hii post nilidhani ni utani, kwa kuwa alirudi tu siku chache nyuma; ila baada ya kusikia kwenye taarifa ya habara ITV saa mbli usiku nikajua ni kweli!!

Sasa cha kujiuliza; kazi zake za ofisini anafanya saa ngapi?!
Si mafaili yatakuwa yamelundikana hadi kwenye ceiling board?

Niliwahi kusoma mahali kuwa marais wengi wanafanya kazi kwa wastani wa saa 18 kwa siku!

Rais wetu sijui kama anafikisha hata saa 10 kwa siku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom