Raisi Kikwete chanzo cha madudu ya ATCL;TRL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Kikwete chanzo cha madudu ya ATCL;TRL

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,168
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Upo usemi wa kizuri kula na ndugu yako
  lakini ukipitiliza mazara yake ni makubwa sana na hiki ndicho kilichomtokea Rais wao kikwete
  Pengine alikuwa na nia nzuri ya kuwatunza ndugu na marafiki waliosoma nao lakini pengine kwa kujua ama kutojua alijua baada ya muda fulan atutakuwa tena na makampuni haya ndio maana akaamua kufanya haya yanayoendelea kwenye makampuni haya

  Ni aibu shirika kubwa kama ATCL, TRL kukosa ndege ama treni za kusafirishia abiria..pengine ningetamani siku moja kuona labda uwanja wa ndege ukiahamia Bagamoyo tutakuwa na msururu wa ndege kadhaa na treni kupitia huko kuelekea mikoa mingine yaweza saidia kuwepo kwa mashirika haya

  Ni wakati sasa umefika Raisi kikweete Kuachwa kudanganywa na mikataba ya kipumbavu issiyo na tija kila siku aiwezekani rwais wewe wewe kwenye cheki unadanganywa mikataba ya madini unadanganywa mikataba ya umeme unadanganywa ya ndege wewe ya treni unadanganywa wewewe Nani jamani ???Sasa kuna muhimu gani wa kuwa na rais kishoka kama huyu

  Nimefika wakati nasikitika kuona mashirika yenye umuhimu ndio yanayowekewa mikakati ya kuangamizwa hivi hata mkiweka viwanja vya ndege bagamoyo unafikiri wangapi watapanda ndege ya MWENGE BAGAMOYO..??POSTA BAGAMOYO??Embu rais wetu fikiria hilo jamani na umeingia umeambiwa kabisa TRL ILIKUFA KWA SABABU ABCD

  UNAMUWEKWA MJOMBA WAKO SUKURU KAWAMBWA ANATUSAINIA MIKATABA YA KISHENZI KISA 10 PERCENT UNATOKA HAPO UNAWACHAGULIA ATCL MTU ASIEJUA HATA BEI YA DAR MWANZA .DAR KIGOMA NI SH NGAPI MAISHA YAKE YOTE ANAKUTANA NA TKTK KWENYE MEZA NA HATA AIFUNGUI ANAFIKA AIRPORT NA KUONYESHA WAHUSIKA BILA HATA KUJUA KUNA JINA GANI NDANI..., ANAENDA KUINGIZWA MKENGE NA WAPUMBAVU WACHACHE KWA KUTUMIA KUTOKUWA NA UZOEFU WA NDEGE NA MWISHO SHIRIKA ZURI KUBWA KAMA HILI KUISHIA ICU

  PENGINE SI MIMI BINAFSI NINGEPENDA KUONA ATCL IKIWA TAABANI LA HASHA ATCL INAITAJI MSAADA WA KIDIPLOMASIA KABISA...KIBAYA TWAWEZA MWANGUSHIA MZIGO WOTE CEO ALIEPITA LAKINI MH HUYU AMETUMIWA NA WENGI SANA KUJINUFAISHA KUPITIA KUTOKUWA NA UZOEFU WA MAMBO YA ANGA NA HAO HAO NAAMINI WAMEBAKI NA WANAENDELEA NA SHIRIKA NAFIKIRI IFIKE SASA SERIKALI ISEME IMETOSHA

  HATA KAMA KUANZISHWA SHIRIKA UPYA KWA WATU WACHACHE BILA KUANGALIA HIKI NDICHO KITACHOWEZA KUITOA SHIMONI ATCL...WAKATI FULANI INABIDI COST ZIINGIE KUWEKA MASHIRIKA HAYA YAKAE INAVYOTAKIWA..IFIKE WAKATI AJIRA ZA KISHENZI ZA KUPEANA AMA KUVUANA NGUO ZIFE KABISA NA ELIMU NA UZOEFU UWE KIPAUMBELE

  WAKATI UMEFIKA SASAS WATU KUWA NA UCHUNGU NA NCHI YENU HATA VIJANA MLIOSEHEMU NYINGINE KULA LAKININ UKUMBUKE KUBAKISHA NA YA KESHO MSIMALIZE KAMA WENZENU WA ATCL NA TRL

  MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI ATCTRL
   
 2. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  wote walioua Atcl walaaniwe..mngmt ikajifunze kutoka Kenya kwanini mashirika yote yalianza pamoja ila letu hoi wenzetu kenya airways wanasafirisha hadi nje ya Afrika..
   
 3. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Sawa kaka. Chagua wimbo.

  YouTube - ‪Dogo Mfaume - Kazi Ya Dukani (Official Video)‬‏
   
 4. m

  mzambia JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mnamuonea bure kikwete wa watu mbona yeye hana kosa ila mwenye makosa ni yule bwana mataka ndiye aliyeliua shirika letu zuri.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,168
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  alichaguliwa na mawe??
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mkuu, naona unaugonvi binafsi na mataka maana amekuwa mkurugenzi mkuu wakati shirika liko ICU lakini wewe unadhani ameendesha shirika kwa miaka mingi. Baniani mbaya.................
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,468
  Likes Received: 12,725
  Trophy Points: 280
  sure thing? Na km wewe ni baba waletewa mashtaka kila siku kuhusu mwanao,af we unapotezea tuu,kwanini usibebe lawana? Labda kuna kaubia! Khaaaaa
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,468
  Likes Received: 12,725
  Trophy Points: 280
  sure thing,kama we baba af waletewa mashtaka kila day kuhusu mwanao af we unapotezea tuu kwanini usibebeshwe lawama? Kunani hapo kati??????!!!!!!!!!
   
Loading...