Raisi kikwete anaozesha ubungo plaza kimyakimya!!

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Hongera raisi kw hili
wenye habari zaidi tujulishane raisi kikwete leo hii aliongoza msafara wa wanandoa ndani ya benzi nyeupe ukifwatana na ujumbe mkubwa wa ma benzi ya state meusi wenye taarifa tuambiane tuzidi kumpongeza ulikuwa msafara wa ajbu
 
Hongera kaka katika yote this time umechagua ziwa lenye akili nakumbuka vile vimeo vyetu pale mlimani mpaka tukatishiana sikutarajia kama all the life ungekamata ziwa safi kama hili...any way pole kwa

dada zangu

irene,,rehema ,,,zizny...na wengineo ni matumaini mtajifunza pale chuo ni sehemu ya kujifunza na si sehemu ya kutengeneza maisha ya milele all in all kitu kimetokea buguruni kwa mnyamani

big up kaka....
 
Mama Mia,yako lini? kama bado upo upo tufanye bond basi.....
 
Labda waliotoa michango katika harusi hiyo ni mafisadi....akina RA, Lowassa, Karamagi, Manji, Subash na mafisadi wengi wengine ndiyo maana kimya kimya!
 
Very smart move, JK angeweza kufanyia hii shughuli Movenpick au hata viwanja vya ikulu, lakini kwa kuwa anajua mngechonga sana na kulia hela zenu za umma zinafujwa ameamua kwenda sehemu ya kawaida tu- ubungo plaza, lakini bado mmo tu, khaaaaaaa!!
 
Labda waliotoa michango katika harusi hiyo ni mafisadi....akina RA, Lowassa, Karamagi, Manji, Subash na mafisadi wengi wengine ndiyo maana kimya kimya!

Ndugu yangu, harusi ya mtoto wa Rais siyo shughuli ya kitaifa, hilo ni suala lao binafsi na zaidi ni la kifamilia. Wana haki ya kumshirikisha yeyote ambaye wao wanaona wanahitaji kumshirikisha. Siyo kila wimbo unapendeza na hiyo 'chorus' yako ya EPA na Mafisadi. Re-shape your way of thinking!
 
Very smart move, JK angeweza kufanyia hii shughuli Movenpick au hata viwanja vya ikulu, lakini kwa kuwa anajua mngechonga sana na kulia hela zenu za umma zinafujwa ameamua kwenda sehemu ya kawaida tu- ubungo plaza, lakini bado mmo tu, khaaaaaaa!!

...kiwanja cha WAMA kilivyozungukwa na lile kuta la Ikulu huenda pia ikaja zua mjadala :D
 
binti kapotea maboya, huu ukoo laana hawatulii ndani, atachoka na vimada, mtoto kama baba, yakikushinda mwanangu usiogope kurudi kwa babako
 
binti kapotea maboya, huu ukoo laana hawatulii ndani, atachoka na vimada, mtoto kama baba, yakikushinda mwanangu usiogope kurudi kwa babako

Thats what I was thinking before,because I saw the way the guy was behaving here,it is unbelievable.But lets hope he decided to leave all that behind when he decided to marry her. She seems a nice,intelligent woman.
 
binti kapotea maboya, huu ukoo laana hawatulii ndani, atachoka na vimada, mtoto kama baba, yakikushinda mwanangu usiogope kurudi kwa babako

mkuu mi naona kama una wivu vile....why be so negative?

Can you atleast tell me ni ukoo upi unatulia ndani? acha stereotyping when it comes to human behaviours! Its human nature kufanya mambo ya ajabu kama cheating etc. Cha muhimu hapa ni huyu binti na mumewe wajue ni vipi wataishi ili wasipotee na kutekwa na mambo ya dunia hii.

Ridhwan hongera just make sure mkeo anaendelea kuwa na tabasamu hilohilo siku zote!

kudos
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom