Raisi kikwete aliporuhusu mikataba miwili jengo la italia kuna nini nyuma yake???

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Pengine nimekuwa mzito kusoma magazeti ya kiswahili lakini
hili la mwananchi leo limenifurahisha sana kumbe kuna mambo mengi yanatendeka watu wakiwa madarkani bila kujua ipo siku yatawaibukia na kuwauliza walifanya vile kwa misingi gani???

Hili la vielelezo vya mahalu vinapaswa si tu kupelekwa mahakamani bali na bungeni kwenda kuuliza mamlaka ya kuruhusu mikataba miwili jengo moja imetokea wapi na nani alimpa raisi kikwete mamlaka hayo ,na je kuna majengo mangapi ya ubalozi tunadanganywa yanatia hasara bora tununue kumbe kuna mikataba miwili ya kihuni kama hii yakina mahalu....

Nimewiwa kuuliza hili maana nimesoma gazeti nikajiuliza kama rais kikweete anapelekewa yale magazeti najua kesho ataita waandishi wa habari kuelezea ukweli na je ni nani aliempeleka mahakamani bila kuwa na uhakika na akilichotokea...sisemi kwa kusanifu ila nasikitka kesi nyingi za takukuru zinaishia mikononi mwa mahakimu kula hela na mwisho kesi kuisha wameshindwa sababu ya kutojipanga na kuwa na ushahidi wa kutosha

mambo haya yanawafanya hata wakina elieza feleshi wanawachezea kama mchezo wa karata albastini wakijua ni wachovu huko mbele bora yaishie hapo hapo kwenye meza na ndio maana leo hii wakina richmond wanakula kuku,kule iringa fredreick mwakalebela aliwapeleka kama wapuuzi na kuishia kuachana na kesi na si kwamba awajui bali awafahamu wanachotakiwa kufanya wao wanaamini wakimkamata mtu ni sehemu ya kula na kutoa matatizo ya familia zao..wapo wazee tunawajua waliwakimbiza mahaakamani wakawa wanawafwata kuomba hela na kuishia kulia nje ya geti leo kesi azipo tena

ushauri
takukuru mna mambo mengi ya kujifunza najua swala la kuajiri vidosho kwa kutoa nanii na yale mambo ya undugulization ndio yanawatesa leo wakina mahalu wanawaona amjui mfanyalo..kabla yakumpeleka mtu mahakamani naombeni mjipange jamani mjipange tena narudia

nauliza tena
1..hili la kikwete kuruhusu mikataba miwili akijua ni wizi na uchafu amelipata wapi nguvu hii
2.je hii ya kuwaleta wamiliki wa majengo na kuwapeleka ngorongoro kwa wikimbili kama wageni wake anatufundisha nini wapendwa sie wa chini

aanyway bwana ameshatoa amna jinsi tusubiri 2015
 
Takukuru ni jeshi maalum la kumsaidia mkulu kuwaadabisha wasiomfurahisha.
 
Hebu wataalamu naomba clarification kuhusu issues zifuatazo:
- jee Waziri anahusika vipi katika procurement kwenye Wizara?
- jee hakukuwa na mwanasheria wa Wizara kutoa ushauri kuhusu hiyo mikataba miwili?
 
Hii kesi itafumua mengi.
Si Tanzania Mamndenyi, hasa ikiwa wahusika ni kutoka serikalini au chama tawala.
Rich Mond-uli na H-EPA (kwa mfano tu), zimefumua nini zaidi ya kila mmoja kuna mikono baada ya kula?
Tanzania ni shamba la bibi, kila mwenye uwezo anajichumia na hakuna wa kuuliza wala kukamatwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom