Raisi awaidhinisha wahindi kama kabila la 44 nchini Kenya

This thread finally confirms the Tanzanian's stupidity... The president has united Kenyans by making the Indian community a Kenyan community. It shows you are Kenyan first before anything, and if you can not see that you are stupid, very stupid.
Nadhani tatizo lilikuwa ni tribe No.44
 
Hehehehe!! Nìkìì wee úrenda kuuga ndúì kúrìa twaumirì

Japo huwa kuna nadharia nyingi za kuhusu asili yetu Wakikuyu, kuna wanaosema tulitoka Ethiopia sehemu inaitwa Axum. Lakini nyingine inasema tulitokea Kongo, tukaingia Tanzania na kuishi pale Kilimajaro, kipindi hicho babu zetu walipaita 'Kirima-kia-njeru' au 'mlima mweupe', hatimaye tukapitia karibia na Pwani na kuishia mlima Kenya.
Nijue kuria twaumire no rugano rou rwa Israel nindiwoigwete muno. Turi ciana cia Ngai,hau ni ma! Nikii utarenda gwitwo muyahudi muiru we?Hehe:)
 
Dah! Kiswahili chako huwa kibovu sana jamaa, kama Nyerere aliwaunganisha kwa kutumia Kiswahili, basi wewe alikusahau. Hivi wewe huwa unawasiliana kivipi, maana hujui Kingereza, halafu wengi wenu hamjui kuongea lugha zenu za asili, ilhali Kiswahili chenyewe unaandika majanga hadi unatia kichefuchefu.
Sawa baada ya nasaha hizo jielekeze kwenye hoja.
Kuna kabila la wahindi kenya?
 
ona ulivyomtumwa wa kifikra...kikuyu(bantus) na uyahudi wapi na wapi?....ndivyo ulivyodanganywa na mwalimu wako wa somo la historia?.

bantus wote asilia yao ni congo forest.
20da4954c70d322a8d1a23db207d9694.jpg
9d60b4a5c8a1ea39aa3db3ec04127fac.jpg
Historia yangu na ya jamii yangu naijua vyema sana! Punguza mapepe jombaa nilikuwa namjibu MK254 nikimtania. Sijui kwanini unaanza kuleta stori za Moses Kuria hapa. Mtu kama wewe wakikuyu huwa wanamuambia,'menya ciaku nyamenyamenya' au ukipenda 'thie ukiumaga'!
 
uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)

"n'ndolahi hotu mundu waki woo...ngeta mundu wa nkenya hyola yanahiminganaku lichovalela pa river road pala-nairobi. ...ayili mewawa.....mihu haki wajova litombele".
 
Nadhani tatizo lilikuwa ni tribe No.44
There were 42 tribes, the Wamakonde requested to be one of the Kenyan tribes, then there were 43... The Indian community requested and the Kenyans represented by their President said, yes welcome, you can be one of us. It is like a family adopting another child...the child will be called 4/5/6 child. Another tribe in kenya will be the 44/45... tribe in Kenya.
Tribe is not a hate word, it is just a grouping of people. I know you people have been taught to forget about the essence of tribes, but Kenyans appreciate their tribes, and find a sense of belonging in them.
Appreciating your tribe/grouping/family doesn't mean you should hate on the other groupings.
I know my country has had challenges on the ethnicity issue, and it may look like the only thing that identifies us sometimes, but it is not.
We love our Kenyanness more than anything and this should be clear to you because you have observed the way Kenyans behave in this forum, we don't bring our tribes into the discussions, we just represent Kenya. It is time you guys learn that. And if we disagree on national issues it is because we love our country so much.
 
uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)

"n'ndolahi hotu mundu waki woo...ngeta mundu wa nkenya hyola yanahiminganaku lichovalela pa river road pala-nairobi. ...ayili mewawa.....mihu haki wajova litombele".

Subiri nimtumie jamaa wangu Mngoni anitafsirie, hehehe ila hongera kama umeandika mwenyewe bila kuomba msaada kutoka kwa mzee fulani.
Huwa napenda sana watu wenye kutambua asili zao, hata kama tunaunganishwa sote kwa lugha moja ya Kiswahili lakini kila mmoja wetu ana babu zake, ana asili yake, ana mahali alikotoka na ni muhimu sana kuwaelimisha watoto wetu hilo, sio kuvaa milegezo mjini na kuishi kama watumwa.
 
Afu ukishapata wa kukutafsiria tupe mrejesho.Pia mpe jamaa tafsiri ya nilichomuambia.For fair play,naona ni kama anadhani nilimtusi.
 
uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)

"n'ndolahi hotu mundu waki woo...ngeta mundu wa nkenya hyola yanahiminganaku lichovalela pa river road pala-nairobi. ...ayili mewawa.....mihu haki wajova litombele".

Ahaaa, nimeshikanisha hapa kidogo.

Unasema wakenya wanajiringa huku wamevaa nguo/suti feki kutoka River Road....and I think.....kuna suala la umaskini wetu hapa....
 
MK254, tafadhali utuambie huyo kasema nini hapo. It seems funny, it cracked me up ingawaje sijaelewa kitu.
Hiyo ni lugha ya 'hunters and gatherers' na hapa Kenya hawapatikani virahisi. Sisi tunajua tu wakulima wa vyakula na wa mifugo. Hutaweza kuelewa jombaa hata ujaribu vipi!:D
 
uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)

"n'ndolahi hotu mundu waki woo...ngeta mundu wa nkenya hyola yanahiminganaku lichovalela pa river road pala-nairobi. ...ayili mewawa.....mihu haki wajova litombele".
kadoda usidhani katusiwa..ila jamaa amesema kwamba mwenyewe analifahamu kabila lake hivyo wewe "ujishughulishe na mambo ya kwako=menya ciaku nyamenya"ama ukipenda ùthie ùkíomaga..yani go drying ni kamsemo maarufu sana kakiwa na maana sawa na shughulika na yanayokuhusu...
 
Ahaaa, nimeshikanisha hapa kidogo.

Unasema wakenya wanajiringa huku wamevaa nguo/suti feki kutoka River Road....and I think.....kuna suala la umaskini wetu hapa....
hakuna jambo lolote baya nililoandika hapo zaidi ya utani tu.
 
Subiri nimtumie jamaa wangu Mngoni anitafsirie, hehehe ila hongera kama umeandika mwenyewe bila kuomba msaada kutoka kwa mzee fulani.
Huwa napenda sana watu wenye kutambua asili zao, hata kama tunaunganishwa sote kwa lugha moja ya Kiswahili lakini kila mmoja wetu ana babu zake, ana asili yake, ana mahali alikotoka na ni muhimu sana kuwaelimisha watoto wetu hilo, sio kuvaa milegezo mjini na kuishi kama watumwa.
mtumie tu...akikupa maana yake utacheka sana....ni utani tu wa kawaida.

maandishi nimeandika mimi mwenyewe.japo nimezaliwa mjini na kukulia mjini,naimudu kwa kiasi kikubwa sana lugha ya asili ya kabila langu(wangoni).
 
Hiyo ni lugha ya 'hunters and gatherers' na hapa Kenya hawapatikani virahisi. Sisi tunajua tu wakulima wa vyakula na wa mifugo. Hutaweza kuelewa jombaa hata ujaribu vipi!:D

Btw, si ni wangoni walifurushwa South Afrika na King Shaka wa Zulu?

Hawa walikuwanga hunters and gatherers
 
yah according to what the white people have written in their books....books which are also used to teach students at schools.
 
Dah! Kiswahili chako huwa kibovu sana jamaa, kama Nyerere aliwaunganisha kwa kutumia Kiswahili, basi wewe alikusahau. Hivi wewe huwa unawasiliana kivipi, maana hujui Kingereza, halafu wengi wenu hamjui kuongea lugha zenu za asili, ilhali Kiswahili chenyewe unaandika majanga hadi unatia kichefuchefu.
Wahindi sio kabila...maana wao wanagawana zaidi kuliko hata wakikuyu na waluo.

Nafikiri muda umefika sasa wazee wa pande ya Kisumu kuingia kwa madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom