Raisi atakayemrithi Magufuli ni yule atakayeturidhisha anazo sifa hizi....

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,047
2,000
Moja ya sifa ambazo kiongozi wa umma au nchi anapaswa kuwa nazo, ni uwezo wa kusahihisha mapungufu, madhaifu na mabaya ya uongozi ulimotangulia.

Waswahili husema siku hazigandi. Na ndivyo tunavyoweza kusema kuwa siku za Magufuli hazigandi na ukweli zinapita kama upepo. Kwa mantiki hiyo na ili kuepuka makosa yanayofanywa kipindi cha uchaguzi na kuwaacha watu wakilalamika, kusononeka na kulaani serikali yao kwa miaka mitano, ni vema watanzania wakaanza kujihoji kuwa wanamtaka kiongozi mwenye sifa zipi ataeendeleza mazuri ya utawala huu lakini zaidi kuyashugulikia madhaifu, mapungufu na mabaya yaliyosababishwa na utawala huu unaopita.

Kwa upande wangu, ninaona kiongozi ajaye apaswe kuwa na SIFA na UWEZO wa kushughulikia mapungufu yafuatayo:-

>> Kukufufua utawala bora unaoheshimu haki na uhuru wa binadamu (Watanzania) na bila ubaguzi.

>> Kufufua mahusiano yanayodorora na washirika wetu wa maendeleo wa kimataifa.

>> Awe muumini wa umoja wa kitaifa bila kujali rangi, dini, chama, kabila, umri au eneo mtu atokako.

>> Kusaidia kuinua sekta binafsi ambae ni mbia muhimu sana wa kuchochoea maendeleo ya Taifa na Watanzania.

>> Kufufua ari na morali ya wafanyakazi, wakulima, wafugaji na wavuvi wanaoonesha kukata tamaa kutokana ugumu wa maisha.

>> kufuta sheria zote za kikandamizaji kisiasa na kiuchumi.

>> Kukamilisha uandikwaji wa katiba mpya itakayoendana na mahitaji yetu ya sasa.

>> Kupunguza ukubwa wa bunge kama lilivyo sasa, ambao hauna tija. NK.

Naamini yapo mengi. Lakini the baseline ni kwamba, ni muhimu kwa wananchi kujiandaa kifikra mapema.
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,214

Tulikua na Kikwete, Chadema walimtukana na kumdhalilisha kilasiku. Leo tuna JPM bado Chadema wana lalamika. Kwasasa Tunaitaji Rais kama JPM kwa miaka 20 mfululizo tutafika mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
6,799
2,000
Hahaha Magufuli akiwa rais mi nitahama nchi. Hivi hajachaguliwa, akichaguliwa itakuwaje.
Baada ya NEC kumteua walimtangaza ila siku akichaguliwa na wananchi itakuwa balaa.
2020 hakuna mgombea zaidi yake maana wengine hawafanyi siasa mpaka waruhusiwe nayeye.
 
bababikko

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,391
2,000
Tulikua na Kikwete, Chadema walimtukana na kumdhalilisha kilasiku. Leo tuna JPM bado Chadema wana lalamika. Kwasasa Tunaitaji Rais kama JPM kwa miaka 20 mfululizo tutafika mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwete hakuua kama jpm.kama kikwete alitukanwa ni sawa matusi yalipita hewani Leo anatembea bila ulinzi anacheka na kila MTU ana enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kobilo

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
815
1,000
Tulikua na Kikwete, Chadema walimtukana na kumdhalilisha kilasiku. Leo tuna JPM bado Chadema wana lalamika. Kwasasa Tunaitaji Rais kama JPM kwa miaka 20 mfululizo tutafika mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo baada ya kuwa na raisi kama JPM kwa hii miaka mitatu aliyokaa madarakani je wewe binafsi kimaisha umefikia wapi? Hali ya uchumi unaionaje kwa hii miaka mitatu? Kama miaka 3 amefail hata kuongeza mishahara kwa watumishi, miaka 20 si ndo atawaua watu huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
463
1,000
Magufuli bado ni chaguo nambari wani kwa watanzania tulio wengi, anatekeleza mambo makubwa yanayohitaji ujasiri na maamuzi magumu.

'Rais Magufuli anatekeleza ilani ya chadema' - Fredrick Sumaye 2017 ( Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,124
2,000
Moja ya sifa ambazo kiongozi wa umma au nchi anapaswa kuwa nazo, ni uwezo wa kusahihisha mapungufu, madhaifu na mabaya ya uongozi ulimotangulia.

Waswahili husema siku hazigandi. Na ndivyo tunavyoweza kusema kuwa siku za Magufuli hazigandi na ukweli zinapita kama upepo. Kwa mantiki hiyo na ili kuepuka makosa yanayofanywa kipindi cha uchaguzi na kuwaacha watu wakilalamika, kusononeka na kulaani serikali yao kwa miaka mitano, ni vema watanzania wakaanza kujihoji kuwa wanamtaka kiongozi mwenye sifa zipi ataeendeleza mazuri ya utawala huu lakini zaidi kuyashugulikia madhaifu, mapungufu na mabaya yaliyosababishwa na utawala huu unaopita.

Kwa upande wangu, ninaona kiongozi ajaye apaswe kuwa na SIFA na UWEZO wa kushughulikia mapungufu yafuatayo:-

>> Kukufufua utawala bora unaoheshimu haki na uhuru wa binadamu (Watanzania) na bila ubaguzi.

>> Kufufua mahusiano yanayodorora na washirika wetu wa maendeleo wa kimataifa.

>> Awe muumini wa umoja wa kitaifa bila kujali rangi, dini, chama, kabila, umri au eneo mtu atokako.

>> Kusaidia kuinua sekta binafsi ambae ni mbia muhimu sana wa kuchochoea maendeleo ya Taifa na Watanzania.

>> Kufufua ari na morali ya wafanyakazi, wakulima, wafugaji na wavuvi wanaoonesha kukata tamaa kutokana ugumu wa maisha.

>> kufuta sheria zote za kikandamizaji kisiasa na kiuchumi.

>> Kukamilisha uandikwaji wa katiba mpya itakayoendana na mahitaji yetu ya sasa.

>> Kupunguza ukubwa wa bunge kama lilivyo sasa, ambao hauna tija. NK.

Naamini yapo mengi. Lakini the baseline ni kwamba, ni muhimu kwa wananchi kujiandaa kifikra mapema.
Usisahau kuongoza kuna kanuni zake pia..jk alitaka afeli sababu alipuuza baadhi ya kanuni..na waliotaka kumfelisha na kumshambulia ndio hao leo wanasema alikuwa kiongozi bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pmuta

JF-Expert Member
May 9, 2016
785
1,000
Hill ndojambo la msingi binafsi nikikua mpinzani wa kweli kakin kwa sasa Magufuli nampa 100% Walidai Kikwete kikasku nikwenda nje ,mala rushwa imeshamili,mala nidhamu mahara pa kazi hakuna yote jamaa kaingia kalekebisha bdo wapinzani hawajayaona Lowasa aliyaona na kusema tumuunge mkona Rais anafanya kazi nzur bado Rowasa akaonekana mbaya ,Rowasa nimwanasiasa mahili na mzakendo..tokea hapo nkaona atujawa na upinzani,upinzani was kweli ukosoa penye tatizo na usifia palipoenda vizuri .Kwa utendaji wa Magufuli wapinzani wasijidanganye subili mtaniambia mjue kabisa kwa uchaguzi ujao upinzani utapigwa fimbo mbaya tena minaona atakatiba ibadiliswe ikiwezekana Magufuli atuongize miaka 30.Hili kila mtu ajue wajibu wake.Tulichelewa sana kumpata Kiongizi Km Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
6,456
2,000
Moja ya sifa ambazo kiongozi wa umma au nchi anapaswa kuwa nazo, ni uwezo wa kusahihisha mapungufu, madhaifu na mabaya ya uongozi ulimotangulia.

Waswahili husema siku hazigandi. Na ndivyo tunavyoweza kusema kuwa siku za Magufuli hazigandi na ukweli zinapita kama upepo. Kwa mantiki hiyo na ili kuepuka makosa yanayofanywa kipindi cha uchaguzi na kuwaacha watu wakilalamika, kusononeka na kulaani serikali yao kwa miaka mitano, ni vema watanzania wakaanza kujihoji kuwa wanamtaka kiongozi mwenye sifa zipi ataeendeleza mazuri ya utawala huu lakini zaidi kuyashugulikia madhaifu, mapungufu na mabaya yaliyosababishwa na utawala huu unaopita.

Kwa upande wangu, ninaona kiongozi ajaye apaswe kuwa na SIFA na UWEZO wa kushughulikia mapungufu yafuatayo:-

>> Kukufufua utawala bora unaoheshimu haki na uhuru wa binadamu (Watanzania) na bila ubaguzi.

>> Kufufua mahusiano yanayodorora na washirika wetu wa maendeleo wa kimataifa.

>> Awe muumini wa umoja wa kitaifa bila kujali rangi, dini, chama, kabila, umri au eneo mtu atokako.

>> Kusaidia kuinua sekta binafsi ambae ni mbia muhimu sana wa kuchochoea maendeleo ya Taifa na Watanzania.

>> Kufufua ari na morali ya wafanyakazi, wakulima, wafugaji na wavuvi wanaoonesha kukata tamaa kutokana ugumu wa maisha.

>> kufuta sheria zote za kikandamizaji kisiasa na kiuchumi.

>> Kukamilisha uandikwaji wa katiba mpya itakayoendana na mahitaji yetu ya sasa.

>> Kupunguza ukubwa wa bunge kama lilivyo sasa, ambao hauna tija. NK.

Naamini yapo mengi. Lakini the baseline ni kwamba, ni muhimu kwa wananchi kujiandaa kifikra mapema.

Mkuu kimoja umesahau; awe na BUSARA na HEKIMA.
 
macson3

JF-Expert Member
Nov 10, 2017
1,026
2,000
Uzuri tuna uhuru wa kutoa maoni kama mtoa mada alivyofanya,piga kazi JPM wanazidi kuelewa tu hawa watu,wengi wanaona aibu kuhamia CCM ila wanatamani.

always positive
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,837
2,000
Hill (1) ndojambo (2) la msingi binafsi nikikua (3) mpinzani wa kweli kakin(4) kwa sasa Magufuli nampa 100% Walidai Kikwete kikasku(5) nikwenda nje ,mala(6) rushwa imeshamili(7), mala(7) nidhamu mahara(8) pa kazi hakuna yote jamaa kaingia kalekebisha(9) bdo(9) wapinzani hawajayaona Lowasa aliyaona na kusema tumuunge mkona(10) Rais anafanya kazi nzur(11) bado Rowasa(12) akaonekana mbaya ,Rowasa(13) nimwanasiasa(14) mahili(15) na mzakendo(16)..tokea hapo nkaona(17) atujawa(18) na upinzani, upinzani was(19) kweli ukosoa(20) penye tatizo na usifia(21) palipoenda(22) vizuri .Kwa utendaji wa Magufuli wapinzani wasijidanganye subili(23) mtaniambia mjue kabisa kwa uchaguzi ujao upinzani utapigwa fimbo mbaya tena minaona atakatiba(24) ibadiliswe ikiwezekana Magufuli atuongize(25) miaka 30.Hili(26) kila mtu ajue wajibu wake.Tulichelewa sana kumpata Kiongizi(27) Km(28) Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu P. Muta, kwanza asante kwa bandiko lako.

Jf, kama ilivyo nchi ya Tanzania ni ya wote, wakubwa kwa wadogo, walio soma na wasio soma, walio ishia darasa la 4, la 7, QT, MEMKWA, sekondari za Kata, hadi waliofika vyuo. JF ni ya wote Watanzania na watu wa majirani zetu wanao pose kama Watanzania, yaani JF ni ya wote, hivyo ukikutana na bandiko lenye makosa madogo madogo spelling, na panctuation, kwanza saidia kuonyeshea makosa, kisha saidia kurekebisha maana huwezi jua, hivyo katika kusaidia huku kunaifanya jf kuwa ni mtandao darasa, kama lilivyo shamba darasa kwenye kilimo. Hivyo karibu darasani.

Kwanza nimekuorodheshea spelling mistakes kwa numbers, sijaorodhesha panctuation mistakes, kisha nimekurekebishia.

Hili ndio jambo la msingi, binafsi nilikua mpinzani wa kweli lakin kwa sasa Magufuli nampa 100%. Walidai Kikwete kila siku nikwenda nje, mara rushwa imeshamili, mara nidhamu mahala pa kazi hakuna, yote jamaa kaingia karekebisha. Bado wapinzani hawajayaona, Lowassa aliyaona na kusema tumuunge mkono Rais anafanya kazi nzuri bado Lowassa akaonekana ni mbaya, Lowasa ni mwanasiasa mahiri na mzalendo, tokea hapo nikaona hatujawa na upinzani, upinzani wa kweli hukosoa penye tatizo na husifia palipo kwenda vizuri. Kwa utendaji wa Magufuli wapinzani wasijidanganye subiri mtaniambia, mjue kabisa kwa uchaguzi ujao upinzani utapigwa fimbo mbaya tena mimi naona hata katiba ibadiliswe ikiwezekana Magufuli atuongoze kwa miaka 30, ili kila mtu ajue wajibu wake.Tulichelewa sana kumpata Kiongozi kama Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nisingekuwa Mwandishi wa Habari, ningekuwa Mwalimu wa primary darasa la 3.
P
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom