Rais Zuma kutua nchini na wafanyabiashara 80

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Rais Zuma kutua nchini na wafanyabiashara 80

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia Mei 10 - 12, mwaka huu akiwa ameambatana na mawaziri sita na zaidi ya wafanyabiashara 80.

Anakuja kutafuta uungwaji mkono tu, na kama kawaida vijana wa TISS atarudi nao huko AK..

Si unajua nchi yetu kwa figisu figisu ni ya kuaminika Afrika nzima..
 
zuma-kikwete-dance.jpg

Perezida Jakaya Kikwete wa Tanzania na Jacob Zuma wa Afurika y'Epfo barigucinya akadiho. Bombi bafite ingabo muri Congo, aho bivugwa ko bafite n'inyungu ituruka mu mabuye y'agaciro
 
Kwa huyu bwana labda tutajifunza mbinu za biashara. Tupate wawekezaji wenye mitaji.

Ila kwa demokrasia hatuna la kujifunza kwake is just another failed African leadership...typical!
 
Mkuu akifika mtumbue hili ni jipu lililoiva Afrika nzima inajua. hapo ndio tutajua intaneshino tumburer
 
Amalize kwanza migogoro ya nchini kwake!
Awaambie wananchi wake waache kuwaandama wageni......
 
Anakuja nchini na wafanyabiashara 100 au anakuja na mademu zake 100?!
maana huyu hana tofauti na mfalme mswati.
 
Bavicha badala ya kuitafakari kwa kina hiyo ziara na Kuhamasisha watu wajaribu kunyaka fursa,wanaongea utumbo mtupu.
Kuna makampuni kama MTN yanakuja yanahitaji vendors,vijana wa chuo mnaweza kujikusanya 50 mnaanzisha kampuni mnakula kazi za kuitapanya MTN kwa kamisheni nzuri.
Vijana wa Geologia,mnaweza kujikusanya na mkakamata wachimbaji wa kati na wakubwa wanaokuja na Zuma,japo taarifa nyingi zinapatikana mitandaoni,lakini nyie mnajua zaidi na mnaweza kupata taarifa zianazoendana na wakati.
Wale mnaokwenda china kutafuta nguo na fanicha,RSA ni rahisi sana kwa nauli na kodi kwa sababu ya umbali na Comesa Tariff.
Kiukweli ni fursa nyingi sana,ila endeleeni kupiga domo tu
 
zuma-kikwete-dance.jpg

Perezida Jakaya Kikwete wa Tanzania na Jacob Zuma wa Afurika y'Epfo barigucinya akadiho. Bombi bafite ingabo muri Congo, aho bivugwa ko bafite n'inyungu ituruka mu mabuye y'agaciro
Zuma anacheza makhirikhiri wakati Kikwete anacheza rumba.
 
zuma-kikwete-dance.jpg

Perezida Jakaya Kikwete wa Tanzania na Jacob Zuma wa Afurika y'Epfo barigucinya akadiho. Bombi bafite ingabo muri Congo, aho bivugwa ko bafite n'inyungu ituruka mu mabuye y'agaciro

Enzi zetu ukicheza Mziki lazima usugue Dole gumba kwenye 'dole la Matusi' Kuashiria Nyimbo ime touch hisia zako!

Tazama Vidole vya Jk na Zuma utaelewa!

Siku hizi nikitazama Vijana wakicheza basi mkono mmoja lazima washike sehemu zao za siri za mbele kwa Mkono wa kushoto

The rest is history
 
Kwa huyu bwana labda tutajifunza mbinu za biashara. Tupate wawekezaji wenye mitaji.

Ila kwa demokrasia hatuna la kujifunza kwake is just another failed African leadership...typical!
Kachaguliwa kwa kura lakini.Kuacha maandamano ya kumpinga nchi nzima ni kigezo tosha kwamba anaheshimu demokrasia!
 
..huyu zuma sio deal tena....huyu ni rais haram huko kwake south.....ni aibu kwa tz kumwalika zuma katika kipindi hiki ambacho kule kwake south anapambana na hoja za kumtoa madarakani kwa wizi wake na matumizi mabaya ya madaraka....kumwalika zuma tz ni kiashirio kibaya cha jinsi serikali ya sasa ya tz isivyoenda na wakati...ama kwa makusudi kujitia upofu wa kutojua kuwa zuma ni batili...ama kwa kutojua tu..sababu ya uvivu wa kufatilia trend za saisa za africa na dunia.....
 
Back
Top Bottom