Na akaenda mbali zaidi ya kwamba ili wawapate wavujisha siri ni lazima kuwepo mkakati maalum wa kumtapisha Lissu siri zote aliziambiwa. Baada ya Lissu kutapika siri sijui kifuatacho ni nini. Haki ya Mungu kuna watu na watu mfano wa watu.Devil!Yes
..analalamika mtu alovujisha siri...akaenda mbali zaidi aanze kutafta mchawi alovujisha hii ishu...hatari kwakweli...!wao wanaona kawaida...haikutakiwa kuvuja..wanadhan watu wote wajinga