Rais yupo pwani wananchi tumesimama foleni kutoka Mdaula mpaka chalinze mabus yamesimama

Kundapani

Member
Mar 23, 2017
25
7
9a75164e648e17e9145d259fe9f8a6ed.jpg
 
kundapani please unaweza kutuma picha zaidi,sorry guys sio kuwa nimekuwa ignorance ila maisha ya wananchi yasimame hivyo reasons behind our no 1 he is in town?,mpaka karne hii haya mambo bado yapo?,nimeshuhudia misafara mingi tu ,including US president ila hayakuleta usumbufu mkubwa kwa raia,always vyombo vya usalama vinajitahidi mno kutoathiri mno,why wasimamishe line nzima kwani huwezi kupishana na msafara wa Rais?
 
Alafu wanatangaza kuwa mjitokeze kwa wingi kumshangilia rais wetu mpendwa wakati tumepoteza masaa kibao
 
Kwani unadhania raisi naye haogopi wadunguaji wanaojichanganya na raia? vumilieni tu sie huku dar tushazoea sana tunaombea tu safari ya kuhamia Dodoma ifike haraka foleni zinachosha maana mafuta yanaisha sana kusubiria ukizima gari na AC unazima joto halivumiliki...
 
Huyo si ndio mkuu wa nchi yako unataka na wewe uwe unabananisha kaIST kako wakati anapita!! tuliza mshono mkuu, jana sisi hapa mwanza tulianza kusimamishwa waziri mkuu akiwa Dar mpaka kuja kutua ni masaa maangapi??
 
Back
Top Bottom